Dodoma FM
Dodoma FM
7 October 2021, 12:16
Na; Alfred Bulahya. Wakazi wa kata ya Mpwayungu wilayani Chamwino mkoani Dodoma, wametakiwa kuacha kuendekeza undugu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto na badala yake washirikiane na mamlaka zinazosimamia masuala hayo ili kukomesha vitendo hivyo.…
7 October 2021, 11:59
Na;Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji inatarajia kuanza kampeni mwezi huu ya kutoa elimu kwa wakulima kuchangia ada kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji pamoja na kutatua changamoto ya skimu mbalimbali Nchini. Hayo yanajiri wakati Tanzania inakadiriwa kuwa…
6 October 2021, 13:11
Na; Selemani Kodima. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuimarishwa kwa Kamati za ulinzi na usalama wa mtoto ili zitumike kukabiliana na vitendo vya ukatili. Mh. Mwanaidi ametoa agizo hilo…
6 October 2021, 12:57
Na; Mindi Joseph . Mamlaka ya Nishati na Maji EWURA imetangaza kupunguza Tozo nane kwa ajili ya udhibiti wa EWURA na kuwaletea Unafuu wananchi. Akizungumza na Taswira ya habari Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema wamefanya…
5 October 2021, 11:31
Na ;Victor Chigwada. Huduma hafifu ya upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa changamoto kwa Wananchi wa kitongoji cha Mpakani Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa hali inayosababisha migogoro ya ndoa Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari…
5 October 2021, 11:19
Na; Shani Nicolous. Kufuatia zoezi la kuendelea kujikinga na Uviko 19 Dodoma imeonekana kuwa na mwitikio mkubwa katika suala la uchanjaji. Akizungumza na Taswira ya habari Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Jabir Shekimweli amesema kuwa kuna mwitikio mkubwa wa…
5 October 2021, 11:04
Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa maabara kwa baadhi ya shule za sekondari imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule zinazokabiliwa na changamoto ya miundombinu ya shule ambapo…
5 October 2021, 10:53
Na; Selemani Kodima. Ikiwa leo ni siku ya walimu Dunia ,Baadhi ya walimu wamesema ipo haja ya kundi hilo kutazamwa zaidi katika namna ya kujikinga na Ugonjwa uviko-19 kutokana na mazingira ya ufundishaji kuhusisha watu wengi . Hayo yamesemwa na…
4 October 2021, 14:34
Na; Benard Filbert. Kuchelewa kuwashwa kwa nishati ya umeme wa tanesco katika kata ya Membe wilayani Chamwino imetajwa kuathiri upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata hiyo. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Membe bwana Simon Macheo…
4 October 2021, 13:44
Na; Selemani Kodima . Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma unaongoza kwa utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Uviko -19 ambapo kati ya chanjo Elfu Hamsini ambazo zilitolewa kwa ajili ya Ugonjwa Uviko-19 ,tayari chanjo elfu thelathini zimetumika . Hayo yameelezwa na…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-