Dodoma FM
Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua
27 April 2023, 3:41 pm
Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo.
Yussuph Hassan.
Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi.
Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, ambapo unaweza kusababisha kifo endapo mtu huyo hatopatiwa matibabu kwa wakati.