Dodoma FM

Serikali kutoa mikopo kwa vikundi 22 Mpwapwa

2 December 2024, 11:47 am

Picha ni baadhi ya wananchi wa wilaya ya Mpwapwa wakiwa katika uzinduzi huo wa utoaji mikopo . Picha na Steven Noel.

Akifungua uzinduzi huo Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt Sophia Kizigo amesema

Na Steven Noel.
Miongoni mwa maadui watatu wa TAIFA hili tangu tupate uhuru ni ujinga ,umaskini na maradhi Ili kuhakikisha maadui hawa wanatoweka serikali imeweka mipango mbali mbali Ili kuwaondoa maadui hawa.

Katika Halmashauri ya Mpwapwa ili kuweza kuondokana na umaskini na utegemezi Kwa makundi ya vijana wanawake na watu wenye ulemavu serikali imeweza kutoa mikopo ya shilingi million 148,363,556 Kwa vikundi 22.