Dodoma FM

Recent posts

10 December 2025, 4:12 pm

Tufaa latajwa kuwa zao la kimkakati Dodoma

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa ununuzi wa Miche ya Tufaa baina ya Mkoa wa Dodoma na Kampuni ya Tamtam Tanzania ya Mkoani Iringa katika Ukumbi wa…

10 December 2025, 3:53 pm

Vijana waomba elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii

Ili kupunguza athari zitokanazo na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii wameshauri ni vyema elimu ikaotolewa ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza. Picha na Mtandao. Asilimia 95% ya vijana wenye umri wa miaka 13–17 hutumia mitandao ya kijamii kama TikTok, Instagram,…

10 December 2025, 3:36 pm

Machinga Complex yaendelea na shughuli, ulinzi waimarishwa

Picha ni soko la wazi la Machinga Complex jijini Dodoma. Picha na Dodoma FM. Hali ya ulinzi na usalama imeendelea kuimarishwa na vyombo vya usalama, huku wafanyabiashara wakijitokeza na kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Na Lilian Leopold. Wafanyabiashara wa…

8 December 2025, 5:02 pm

Viongozi wapya wataja vipaumbele kuboresha huduma kwa wananchi

Picha ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Mhe. Alimwoni Chaula wakati wa mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Ikumbukwe kuwa, katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni, Madiwani…

8 December 2025, 4:46 pm

Ukosefu wa dawa kilio kwa wananchi wa Manchali A

Licha ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya lakini bado kuna changamoto ya dawa. Picha na Mtandao. Aidha, wananchi wameitaka serikali kuweka utaratibu wa ufuatiliaji wa mahitaji ya dawa ili kuhakikisha zahanati hiyo inakuwa na akiba ya kutosha muda…

5 December 2025, 4:11 pm

Ukosefu wa maabara Igandu wananchi watibiwa bila vipimo

Aidha ameongeza kuwa hali hiyo inawalizimu kusafiri kilomita kadhaa kwenda vituo vya afya vya kata jirani ili kupata vipimo zaidi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa kukosekana kwa maabara katika zahanati ya Igandu Wilaya ya Chamwino imepelekea baadhi ya wananchi kupewa matibabu…

5 December 2025, 3:49 pm

Muungano waomba serikali kukarabati barabara

Kutokufanya ukarabati na uchongaji wa barabara ni kuwatesa wananchi ambao wanahitaji miundombinu iliyokamilika. Na Victor Chigwada.Diwani wa Kata ya Muungano Wilaya ya Chamwino ameiomba Serikali kuingilia kati changamoto ya miundombinu ya barabara inayo ikabili kata hiyoili kurahisha huduma za kijamii.Akizungumzia…

5 December 2025, 2:40 pm

Serikali yatakiwa kusimamia ubunifu na uvumbuzi wa vijana

Muandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Jamii Ismail Mussa ameanza kumuuliza Je Ni vipi vipaumbele vikuu katika wizara hiyo ikiwa ni wizara mpya? Na Bennard Filbert.Serikali kupitia wizara ya vijana ofisi ya Rais…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger