Dodoma FM
98.4 MHz
Miyuji - Dodoma
+255 784 244 705/6
dodomafmradio@gmail.com
https://www.dodomafm.co.tz
98.4 MHz
Miyuji - Dodoma
+255 784 244 705/6
dodomafmradio@gmail.com
https://www.dodomafm.co.tz
Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, asilimia 11.2 ya watu wote nchini wana ulemavu, idadi hiyo imeongezeka kutoka asilimia 9.3 ilivyokuwa katika sensa ya mwaka 2012. Na Lilian Leopord.Katika jamii, lugha ina nguvu kubwa katika kuunda…
19 December 2025, 5:46 pm
Amesema muongozo huo utakuwa chachu muhimu katika kukuza biashara changa, ndogo na za kati. Na Mariam Matundu.Serikali imezindua Mfumo wa Muongozo wa Kitaifa wa Vituo vya Uendelezaji Biashara, hatua inayolenga kuimarisha mazingira ya biashara ndogo na za kati pamoja na…
19 December 2025, 3:56 pm
Ujasiriamali kama njia halali na yenye tija huku nidhamu ya kazi, ubunifu, na matumizi sahihi ya teknolojia vimetajwa kuwa miongoni mwa misingi muhimu.Picha na Un news. Serikali na wadau wa maendeleo wamehimizwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali kwa kuboresha…
19 December 2025, 3:38 pm
Licha ya kuomba msaada kwa serikali juu ya kivuko hicho pia viongozi wa eneo hilo wanaendelea kuchukua hatua ili kutatua tatizo hilo. Na Farashuu Abdallah. Katika kuelekea msimu wa mvua mkoani Dodoma wakazi wa Mtaa wa Chidachi Kata ya Mkonze…
19 December 2025, 3:14 pm
Serikali ilichukua hatua ya haraka ya kufuatilia hali ya mtoto huyo baada ya kupata taarifa hizo kwa kumtafuta Bibi wa mtoto huyo katika hospitali ya Agha Khan jijini Dodoma. Na Mariam Matundu. Serikali imeendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote…
19 December 2025, 2:56 pm
Ripoti ya Youth in Agriculture Strategy 2016-2021 inaonesha kuwa vijana wengi hukumbana na changamoto za ardhi, mtaji, teknolojia na mitazamo hasi kuhusu kilimo huku Serikali kupitia Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) inalenga kuwasaidia vijana kuingia kwenye kilimo biashara…
18 December 2025, 4:29 pm
Mhe Senyamule amesema halmashauri zote na mkoa kwa ujumla kiwango kwa ufaulu Dodoma kimepanda. Na Yussuph Hassan. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametoa shime kwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wadau wengine katika sekta ya elimu kuendelea kuhakikisha…
18 December 2025, 4:10 pm
Mkutano ulioitishwa ulikuwa na ajenda muhimu kama vile ardhi hivyo ni vigumu kuendesha ajenda hizo muhimu na kuchangia na mawazo ya watu wachache. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Ihumwa A wametakiwa kuhudhuria mikutano ya mtaa ili kushiriki maamuzi…
18 December 2025, 3:53 pm
Wanawake wa Jukwaa walioshiriki katika kikao hicho wamemshukuru Waziri Dkt. Gwajima kwa kuwapa nafasi ya kusikilizwa. Na Mariam Matundu. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka wanawake katika vikundi mbalimbali kueleza changamoto…
17 December 2025, 5:02 pm
Na Bennard Komba. Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya kielektroniki Izack Enterprises iliyopo Dodoma imekuja na ofa za msimu wa sikukuu lengo ni kuwa karibu na wateja katika huduma zao ambazo wamekuwa wakitoa. Muandishi wetu Benard Komba ametembelea katika…
17 December 2025, 4:47 pm
Siku 16 za kupinga ukatili huadhimishwa kila mwaka kuanzia novemba 25 hadi desemba 10 ambapo chama hicho kimeamua kuadhimisha siku hiyo mwanzoni mwa jumahili desemba 15 mwaka huu. Na Mariam Matundu.Chama cha ushirika cha wakulima wa Zabibu na masoko (WAZAMAM)…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-