Recent posts
22 May 2023, 3:44 pm
Matambiko na siri ya maji ya kisima cha Bwibwi
Nilimuuliza chifu je kisima hiki cha Bwibwi huwa na maji katika misimu yote au wakati wa kiangazi hukauka ? Na Mariam Kasawa. Mtazamaji wa fahari tunaenedelea kusikiliza historia ya kisima hiki cha Bwibwi kisima ambacho hadi leo bado baadhi ya…
19 May 2023, 7:36 pm
Wananchi watakiwa kutumia mabwawa yanayojengwa kujikita katika kilimo cha umwagi…
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imefanyika wilayani Bahi lengo likiwa ni kutembelea miradi mbalimbali wilayani humo ikiwemo ujenzi wa shule ya msingi Ngondo, nyumba ya mwalimu na mradi wa umwagiliaji Kongogo. Na Mariam Kasawa. Wananchi wametakiwa kutumia vizuri…
19 May 2023, 6:42 pm
Chamwino watakiwa kukamilisha miradi kwa wakati
Katika ziara hiyo ya kikazi katibu Tawala amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya…
19 May 2023, 6:15 pm
Fahamu historia ya kisima cha Bwibwi kilichomeza watu 29
Imani ya watu dhidi ya maji ya kisima hiki ni kubwa, chifu anatueleza na kutuonesha mfano wa kunywa maji haya. Na Mariam Kasawa. Bado tunaendelea kukujuza mambo mbalimbali ya kale, historia za kale zinazopatikana mkoani Dodoma kupitia fahari ya Dodoma.…
19 May 2023, 4:38 pm
Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama nchini waridhishwa na huduma
Wafanyakazi wa mahakama wamejipambanua kwa kufanikisha na kusongeza huduma za utoaji haki karibu na wananchi. Na Mindi Joseph. Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma amesema Asilimia 92 ya watumiaji wa mahakama wameridhishwa na utoaji wa huduma kutoka kwa majaji…
19 May 2023, 3:45 pm
Mgogoro wa maji Subugo kutafutiwa ufumbuzi
Viongozi wa Kijiji wametakiwa kuwa wabunifu kutambua fursa za kiuchumi zilizopo katika maeneo yao kama kilimo chenye tija ili waweze kuwakwamua wananchi kiuchumi na kupata maendeleo. Na Bernadetha Mwakilabi. Mgogoro wa maji uliopo kitongoji cha Subugo kati ya Serikali ya…
17 May 2023, 4:51 pm
TMO yawasilisha rasimu ya ujenzi wa kituo cha michezo Mbande
Kwa mujibu wa viongozi wa Taasisi hiyo ujenzi wa Kituo hicho utaleta tija kwa wananchi kwani utahusisha maeneo ya vitega uchumi mbalimbali yakiwemo maduka na huduma nyinginezo. Na Alfred Bulahya. Taasisi ya Tembea Kwa Matumaini Organization (TMO) imewasilisha rasimu ya…
17 May 2023, 4:19 pm
Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kwaleta neema kwa wananchi
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kumechangiwa pia na msimu wa mavuno hususani zao la alizeti. Na Thadei Tesha. Kushuka kwa bei ya mafuta ya kupikia kumetajwa kuleta unafuu kwa wananchi pamoja na…
17 May 2023, 3:54 pm
Taasisi za vijana zakutana kujadili jinsi ya kufanya kazi pamoja
Mkutano huo umeandaliwa na umoja wa vijana hao kwa kushirikiana na shirika la Foundation for Civil Society FCS. Na Alfred Bulahya. Umoja wa vijana kutoka taasisi zinazofanya kazi kwenye afua za vijana, zimekutaka jijini Dodoma kujadili namna zinavyoweza kufanya kazi…
17 May 2023, 3:03 pm
NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa
Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…