Dodoma FM
Dodoma FM
2 Septemba 2024, 17:32
Licha ya kuimarisha kinga ya mwili lishe bora pia inaelezwa inatajwa kumsaidia mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufikiri na kumbukumbu hivyo kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kukumbuka masomo kwa wepesi. Na Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa Mpango Mkakati wa Afya na lishe…
2 Septemba 2024, 17:01
Na Mariam Matundu. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema wanawake na wanaume wanategemeana katika kazi ili kuleta maendeleo endelevu. Waziri Dkt. Gwajima amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kwanza wa mtandao…
2 Septemba 2024, 10:59
Kwa sasa bei za Uniti za Umeme Nchini Tanzania zinatofautiana kulingana na matumizi na Ruzuku za Serikali. Na Seleman Kodima. Wakazi wa Jiji la Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya mapendekezo yaliyotolewa Bungeni Jijini Dodoma juu ya mapatio mapya…
28 Agosti 2024, 20:36
Dira ya maendeleo mwaka 2050 inapaswa kuboreshwa katika mabo mbalimbali ikiwemo elimu na Afya. Na Mariam Kasawa. Wadau wameeleza maoni yao katika Dira ya mwaka 2050 kuwa inapaswa kuzingatia usawa kwa watu wote bila upendeleo kwa watu walio chini na…
28 Agosti 2024, 14:23
Imeelezwa kuwa kupitia dhana ya hamsini kwa hamsini ambayo inamjenga mwanamke kushiriki katika kila idara sawa kwa sawa na mwanaume dhana hii imepokelewa tofauti na baadhi ya jamii. Na Mariam Kasawa. Wakati serikali ikiwa katika mchakato wa maandalizi ya Dira…
26 Agosti 2024, 19:10
Na Mariam Kasawa. Zaidi ya Wanaharakati na Wadau 300 wanaotetea haki za wanawake na usawa wa jinsia kutoka pande mbalimbali nchini wanatarajia kushiriki katika Tamasha la 7 la Jinsia Ngazi ya Wilaya 2024 katika Viwanja vya Sabasaba, Wilaya ya Kondoa.,…
21 Agosti 2024, 18:36
Picha ni baadhi ya Madereva Bodaboda wakiwa barabarani .Picha na Google. Mwezi Februari mwaka 2023 thamani ya Pikipiki zilizonunuliwa nje ya Nchi zilifikia Dola Milioni 136.7 sawa na Shilingi Bilioni 319.87 kiwango hicho ni zaidi ya Bajeti ya Kilimo ya…
21 Agosti 2024, 18:25
Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko akizungumza katika hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya utekelezaji wa Miradi wa Kupeleka Umeme katika vitongoji 3,060 (15 kila Jimbo) jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Nishati. Vitongoji takribani…
21 Agosti 2024, 18:14
Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki limebeba kauli mbiu isemayo (Matumizi ya Dijitali kwa Ununuzi wa Umma Endelevu) ambapo litahusisha mataifa mbalimbali kutoka ukanda wa afrika mashariki . Na Selemani Kodima Kuelekea kufanyika kwa kongamano 16…
20 Agosti 2024, 18:31
Picha ni Mwakilishi wa Mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kitaifa la Usafi wa Mazingira 2024 ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu) William Lukuvi. Picha na Selemani Kodima. Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Ofisi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-