Recent posts
7 June 2023, 4:19 pm
UMISETA wahimizwa nidhamu
Afisa usalama wilaya ya Kongwa Bwana Mwakasendo amesisitiza kuzingatia muda na kuwa wavumilivu kuendana na ulimwengu tulionao kwani muda ni siri ya ushindi. Na Bernadetha Mwakilabi. Wanafunzi 115 wa shule za sekondari wilayani Kongwa wanaoshiriki mashindano ya umoja wa michezo…
6 June 2023, 6:46 pm
Jamii yashauriwa kujenga tabia ya kufanya tafiti mbalimbali
Mradi wa ALiVE-Tanzania una lengo la kufanya tafiti na kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana Nchini. Na Fred Cheti. Jamii imeshauriwa kujenga desturi ya kufanya tafiti mbalimbali katika maeneo yao na kubaini changamoto zilizopo ili kupunguza baadhi ya…
6 June 2023, 6:11 pm
Jamii yaomba elimu utambuzi bidhaa zilizothibitishwa na TBS
Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi pamoja na wafanyabiashara jijini Dodoma wameiomba serikali pamoja na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutambua bidhaa kama imethibitishwa na TBS. Dodoma Tv imefanya mahojiano na…
6 June 2023, 5:02 pm
Wakulima wa zabibu walalamikia uhaba wa soko la uhakika
Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la zabibu kijiji cha Makag’wa mkoani Dodoma wamesema ukosefu wa soko la uhakika ikiwemo idadi ndogo ya viwanda vya kusindika zabibu kumechangia kurudisha nyuma maendeleo ya wakulima wa zao hilo. Wakulima hao wameeleza hayo…
6 June 2023, 4:23 pm
Wananchi wahimizwa kufanya utalii wa ndani
Dhana ya wananchi ya kuamini utalii hufanywa na watu kutoka nje ya nchi inakwamisha sana sekta ya utalii nchini. Na Alfred Bulahya. Kuelekea siku ya maporomoko ya maji duniani, watanzania wametakiwa kuacha kuamini kuwa suala la utalii linafanywa na watu…
5 June 2023, 7:11 pm
Dkt. Mpango ahimiza wananchi kuendelea kupiga vita matumizi mifuko ya plastiki
Juni 5 ya kila mwaka ni siku ya mazingira duniani, sikuu hii inaadhimishwa kuhusu umuhimu wa mazingira kwa maisha ya binadamu. Na Fred Cheti Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watanzania…
5 June 2023, 6:16 pm
NIDA, shirika la Posta waingia ubia usambazaji vitambulisho
NIDA imeingia ubia na shirika la Posta katika zoezi la usambazaji wa vitambulisho. Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ikiwa ni njia pekee ya kufanikisha lengo la serikali la kuboresha utoaji wa huduma…
5 June 2023, 5:56 pm
DC Gondwe aagiza miradi ya BOOST kukamilika kwa wakati
Pia alitembelea jengo jipya la benki ya NMB wilaya ya Bahi ambalo tayari limekamilika na linatarajiwa kuanza kutoa huduma muda wowote. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya miundombinu ya elimu wilayani…
2 June 2023, 7:06 pm
Dodoma: Mashine za kuvuna karanga zawakosha wakulima
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta na zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la karanga mkoani Dodoma wamepongeza uwepo wa teknolijia ya mashine za kuvuna karanga. Mashine…
2 June 2023, 6:45 pm
Wataalam wa mipango, uratibu watakiwa kutenga bajeti kutekeleza program ya MMMAM
Waziri Dkt. Gwajima amesema katika bajeti zijazo itabidi uhakiki wa bajeti ufanyike ili kubaini kama bajeti ya utekelezaji wa Programu hiyo umezingatiwa. Na Mariam Matundu. Rai imetolewa kwa wataalam wa mipango na uratibu katika sekretarieti za mikoa kuhakikisha wanatenga bajeti…