Recent posts
13 June 2023, 1:11 pm
Ndaki ya sayansi UDOM yaanza programu huduma kwa jamii masomo ya sayansi
Wana mpango wa kuweka ushirikiano na jiji la Dodoma idara ya elimu ili kufkia shule nyingi zaidi . Na Mariam Matundu. Ndaki ya sayansi asilia na hisabati kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wameanza programu ya huduma kwa jamii katika…
13 June 2023, 12:39 pm
Serikali yataka mapendekezo sheria ya sauti zinazozidi katika nyumba za ibada
Kongamano hilo lina lengo la kujadili na kuwajengea uelewa viongozi wa madhehebu ya dini nchini juu ya kufahama athari zinazoweza kutokana na kelele na mitetemo katika nyumba za ibada ili wakawe mabalozi kwa waumini wao. Na Fred Cheti. Serikali imewataka…
9 June 2023, 3:22 pm
Utiaji saini makabidhiano mradi wa maji kutoka RUWASA kwenda DUWASA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kongwa Mheshimiwa White Zuberi amesema kuwa Serikali inawajali na kuwathamini wananchi wake ndio maana inapambana kuzitatua changamoto za Maji. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amesema kuwa ni…
9 June 2023, 1:12 pm
Msanii wa kizazi kipya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao
Na Lonard Mwacha. Msanii wa kizazi kipya kutoka Dodoma Suleiya Abdi ameweka wazi dhamira yake ya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na mimba za utotoni ili waweze kujikwamua kiuchumi.
9 June 2023, 12:44 pm
Huduma ya maji nchini sasa 88% mijini, 77% vijijini
Aidha ametoa wito kwa jamii kuzingitia sheria na kulinda miundombinu ya maji ili kuunga mkono jitihada za upatikanaji wa huduma ya maji nchini. Na Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa hali ya upatikanaji wa huduma ya maji nchini imeendelea kuimarika na kufikia…
9 June 2023, 12:00 pm
Kikundi cha vijana Mundemu kunufaika na kilimo cha nyanya
Kikundi hicho kimepokea mkopo wa shilingi milioni nane kutoka halmashauri ya wilaya ya Bahi. Na Bernad Magawa. Kikundi cha kilimo tija cha vijana kijiji cha Mundemu kata ya Mundemu wilayani Bahi kinatarajia kunufaika na kilimo cha nyanya kupitia kilimo cha…
9 June 2023, 8:38 am
Udhibiti sumukuvu kukuza mnyororo wa thamani katika biashara
Kupitia mafunzo hayo washiriki wameweza kufahamu maana ya sumukuvu na madhara yake kwa afya ya binadamu. Na Bernadetha Mwakilabi. Wadau mbalimbali wa kilimo cha karanga na mahindi katika kata ya Mtanana wilayani Kongwa wamepatiwa mafunzo juu ya udhibiti wa sumukuvu…
7 June 2023, 6:53 pm
Wananchi Mpwayungu waishukuru serikali kwa kuboresha barabara
Katika maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa dodoma ukarabati wa miundombinu mbalimbali umekuwa ukifanywa ambapo imekuwa ikisaidia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza changamoto ya usafiri . Na Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mpwayungu iliyopo katika wilaya ya Chamwino mkoani…
7 June 2023, 6:18 pm
Serikali yatenga zaidi ya milioni 725 kuzuia, kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza
Dkt. Mollel amesema hayo, leo Juni 7, 2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalumu Mhe. Bernabetha Kasabago Mushashu katika Bunge la kumi na mbili Mkutano wa kumi na moja kikao cha 42, Jijini Dodoma. Na Alfred Bulahya. NAIBU…
7 June 2023, 5:06 pm
Bahi: Adha ya maji Lamaiti yafikia tamati
Mradi huo uliojengwa kwa hisani ya shirika la Water Mission ukigharimu zaidi ya milioni 800 za kitanzania, ni moja ya miradi mikubwa ya maji wilayani Bahi na umetatua changamoto za maji safi na salama kwa wananchi wa kijiji hicho cha…