Recent posts
22 June 2023, 5:01 pm
Vijana watakiwa kutumia fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi
Shirika la Kingdom Leadership Network Tanzania(KLNT) limekuwa likiratibu mikutano ya maombi kwa Taifa ikifahamika kama Tanzania Prayer Breakfast. Na Rabiamen Shoo. Wananchi hususan vijana wametakiwa kuzitumia vizuri fursa zinazojitokeza katika maeneo yao kupata elimu hususan namna ya kufanikiwa kiuchumi. Wito…
22 June 2023, 4:14 pm
Wananchi Chali Isanga waahidiwa shule ya sekondari
Wanafunzi wa kijiji hicho wamekuwa wakilazimika kutembea kilomita zaidi ya 16 kufuata shule ya sekondari Chokopelo. Na Bernad Magawa. Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comredi Daniel Chongolo ameahidi kujenga shule ya Sekondari kijiji cha chali Isanga wilayani Bahi…
22 June 2023, 3:18 pm
Wabobezi wa masuala ya jinsia waagizwa kutambua ahadi za nchi
Programu hiyo ya kizazi chenye usawa itakayotekelezwa kwa miaka mitano (2021/22 – 2025/26). Na Mariam Matundu. Wataalamu wabobezi wa masuala ya jinsia wameagizwa kutambua masuala yaliyowekewa Ahadi za nchi katika Jukwaa la kizazi chenye Usawa (GEF) ili kutekeleza Programu ya…
21 June 2023, 4:54 pm
Jamii yahimizwa kutumia maziwa kwa wingi kujenga afya
katika kuadhimisha wiki ya utumishi wa umma bodi ya maziwa imefika katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kutoa elimu ya umuhimu wa kutumia maziwa salama pamoja na kugawa maziwa katika baadhi ya wodi za wagonjwa…
21 June 2023, 4:21 pm
Serikali kuwashughulikia waajiri sugu wanaodaiwa michango ya wafanyakazi
Serikali imeanzisha mifuko ya hifadhi ya jamii kwa ajili ya kulipa mafao ya mtumishi pindi mfanyakazi anapostaafu au kuacha kazi. Na Mindi Joseph. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi ameagiza wakurugenzi…
21 June 2023, 3:47 pm
Wakulima wa alizeti Bahi walalamika kuporomoka kwa bei
Wakulima hao wanasema wanalazimika kuuza alizeti kwa bei ndogo ili waweze kupata fedha za kujikimu . Na Bernad Magawa. Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wamelalamikia kuporomoka kwa bei ya zao hilo ambalo limejipatia umaarufu hivi karibuni na kuwa…
21 June 2023, 3:16 pm
Chongolo: Watoto wasimamiwe waende shule
Chongolo amesema wakati watoto wanapokuwa mashuleni sio wakati wa viongozi kukaa ofisini badala yake wajipange na kuratibu kuhakikisha watoto wote wanajiunga na masomo na si vinginevyo. Na Bernadetha Mwakilabi. Katibu mkuu wa Chama Chama Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo amewataka…
16 June 2023, 2:53 pm
Uboreshaji miundombinu Bahi wawakomboa mama lishe
Uwepo wa miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu ya elimu na afya wilayani Bahi umeongeza fursa ya vijana na akina mama ambao baadhi yao wameshiriki moja kwa moja katika kazi za ujenzi, na wengine kuuza vifaa vya ujenzi katika miradi…
16 June 2023, 2:28 pm
Vijana Kikuyu waipongeza serikali kuwasogezea huduma, elimu ya Afya
Katika kata ya Kikuyu Kaskazini watu 103 wamepata elimu na kupima masuala ya lishe ambapo asilimia 12.6% walibainika na utapiamlo, watu 80 wakipata elimu juu ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza na Bonanza hilo linatarajiwa kuhitimishwa siku ya kesho Jumamosi Makulu.…
16 June 2023, 1:54 pm
Vijana Kongwa wapokea bonanza la afya
Afisa lishe wilaya Kongwa Bi. Maria Haule amesema vijana lika balehe wakike wanatakiwa kujenga utaratibu wa kula vyakula vinavyoongeza damu ili kusaidia kurudisha damu inayopotea wakati wa hedhi. Na Bernadetha Mwakilabi. Wilaya ya Kongwa imepongeza na kushukuru wizara ya afya…