Recent posts
28 June 2023, 2:30 pm
Jamii inaamini nini kuhusu waraibu wa dawa za kulevya?
Maadhimisho ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya yalifanyika kitaifa mkoani Arusha Juni 25 mwaka huu. Na Respishas Lopa. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameonesha utayari wao wa kuwapokea waraibu wa dawa za kulevya na kushirikiana nao katika…
27 June 2023, 7:37 pm
AMDT yawakutanisha wabunge wa Lindi, Mtwara kujadili zao la alizeti
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo nchini, imeamua kuanza na mikoa ya Lindi na Mtwara kulifanya zao la alizeti kuwa zao la kimkakati katika mikoa hiyo. Na Mindi Joseph. Zao la alizeti…
27 June 2023, 6:28 pm
Serikali yaondoa tozo miamala ya kutuma fedha kwa njia ya simu
Mkoa wa Dodoma umebahatika kupata minara 36 huku 6 ikijengwa na Vodacom. Na Mindi Joseph. Serikali imeondoa tozo kwenye miamala ya kutuma fedha katika mitandao mbalimbali ya simu ili kuondoa adha kwa watazania. Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na…
27 June 2023, 5:08 pm
Jumuiya za watumia maji Mpwapwa zatakiwa kuunganisha nguvu na serikali
Amewataka watendeji kuendelea kusisitiza suala la utunzaji wa mazingira ili kuokoa vizazi vya sasa na vijavyo. Na Fred Cheti. Jumuiya za watumia maji katika halmsahuri ya wilaya ya Mpwapwa zimeaswa kuunganisha nguvu na serikali kwa kutoa ushirikiano utaokaosaidia kuundwa utaratibu…
27 June 2023, 4:38 pm
Kilimo cha umwagiliaji chachu uhakika wa chakula
Mwema ametumia nafasi hiyo kuwahamasisha wananchi kujiingiza kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wingi na kwa uhakika. Na Bernadetha Mwakilabi. Mwakilishi wa shirika la chakula duniani (WFP) nchini Tanzania Bi Sarah Gordon- Gibson amesema kuwa kilimo…
26 June 2023, 5:09 pm
Mashirika yasiyo ya kiserikali yatakiwa kutumia fursa zinazojitokeza
Asasi zaidi ya 50 mkoani Dodoma zimenufaika na mafunzo hayo ambayo yanalega kuongeza uelewa na namna ya kujua kujitafutia rasilimali. Na Mindi Joseph. Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yametakiwa kutumia fursa zinazojitokea ili kuifikia jamii kwa ukaribu kupitia utekelezaji wa…
26 June 2023, 3:56 pm
Wanandoa watakiwa kumtegemea Mungu
Tukio hilo la kufungisha ndoa liliambatana na sherehe za dekania ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji zilizofanyika parokiani Kigwe ambazo zilitanguliwa na uzinduzi wa nyumba mpya ya mapadri parokiani hapo. Na Bernad Magawa. Makamu wa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu katoliki Dodoma…
26 June 2023, 1:37 pm
NEMC, TBS zakutana kujadili katazo vifungashio vya plastiki
Vifungashio visivyo kidhi ubora vinatajwa kuleta athari katika mazingira. Na Fred Cheti. Baraza la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) limekutana na shirika la viwango nchini (TBS) na kufanya kikao kazi kwa lengo la utekelezaji wa katazo la matumizi ya…
26 June 2023, 12:17 pm
Wazazi watakiwa kuwajali watoto wenye ulemavu
Wazazi wanakumbushwa kuendelea kuwajali watoto wenye ulemavu kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mariam Kasawa. Wazazi wametakiwa kuwajali na kuwathamini watoto wenye ulemavu kwa kuwapatia elimu ili waweze kutimiza ndoto zao . Ni katika…
22 June 2023, 5:20 pm
Fahamu jinsi uchunguzi wa utapiamlo unavyofanyika
Na Yussuph Hassan. Afisa lishe juma swedi anazungumzia utambuzi wa utapiamlo unavyofanyika katika vituo vya afya.