Recent posts
11 July 2023, 7:08 pm
Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa matumizi ya nishati safi
Nini sababu ya watu kushindwa kutumia nishati safi na badala yake kuendelea na matumizi ya kuni na mkaa?. Na Aisha Shaban. Wakati serikali ikiendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi na rafiki kwa mazingira baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma…
11 July 2023, 6:08 pm
Ukosefu wa zahanati Mbelezungu Chamwino wapelekea vifo vya akina mama wajawazito
Sera ya afya ya mwaka 2007 imeweka wazi kuwa kila kijiji kanatakiwa kuwa na zahanati moja ili kuhudumia wananchi wa eneo hilo. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa ukosefu wa Zahanati katika kijiji cha Mbelezungu Wilayani Chamwino ni sababu inayosababisha vifo…
11 July 2023, 4:45 pm
Wahudumu wa Afya nchini watakiwa kupunguza semina
Aidha Waziri Ummy amewataka wataalamu hao wa afya kufanya kazi zao kwa weledi na kuzingatia kazi zao za tiba. Na Fred Cheti. Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi…
11 July 2023, 1:10 pm
Wakazi wa Chang’ombe Kongwa waiomba serikali iwatatulie adha ya maji
Changamoto ya maji imesalia kuwa kilio kwa wananchi pamoja na serikali kuendelea kufanya jitihada mbalimbali. Na Mindi Joseph. Wananchi wa kitongoji cha chang’ombe Kata ya Laikala Wilyani Kongwa wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya maji inayowakabili. Visima vilivyopo ni viwili…
10 July 2023, 6:23 pm
Kongwa yapongezwa kwa kupata hati safi ya ukaguzi
Senyamule amesema kitendo hiki kimeipa heshima kubwa halmashauri ya wilaya ya Kongwa, mkoa wa Dodoma na nchi kwa ujumla. Na Mariam Matundu. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Kongwa kwa kupata Hati safi…
10 July 2023, 5:32 pm
STAMICO kuanza kuzalisha nishati mbadala
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Bwana Venance Mwase akizungumza na vyombo vya habari .Picha na Fred Cheti. Matumizi ya mkaa na kuni yanatajwa kuchangia uchafuzi na uharibifu wa mazingira. Na Fred Cheti. Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) linatarajia kuanza…
10 July 2023, 4:49 pm
Biashara ya tangawizi, vitunguu swaumu yadoda Dodoma
Kwa sasa miongoni mwa viungo vinavyoonekena kushamiri katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ni pamoja na vitunguu swaumu na tangawizi ambapo wengi wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa msimu wa bidhaa hizo ni sasa kutoka mashambani. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara…
10 July 2023, 2:56 pm
Wilaya ya Bahi yaagizwa kuongeza shule za kidato cha nne na tano
Mheshimiwa Godwin Gongwe ameahidi kuhakikisha anasimamia utekelezaji wa Maagizo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa. Na Bernad Magawa. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Sitaki Senyamule ameuagiza uongozi wa wilaya ya Bahi kuongeza shule za kidao cha tano na…
7 July 2023, 6:12 pm
Msimu wa mavuno, bei ya mchele yashuka sokoni
Kwa sasa wastani wa bei ya mchele sokoni ni kati ya shilingi 2,300, 2,500 na kuendelea ambapo hapo awali ilikuwa kati ya shilingi 3,000, 3,500 na kuendelea na kwa mujibu wa wafanyabiashara wanasema kushuka kwa bei ya bidhaa hiyo kumetokana…
7 July 2023, 5:27 pm
Wafanyabiashara Dodoma watakiwa kwenda maeneo waliyotengewa
Mara kadhaa Dodoma Tv imeshuhudia baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia mgambo wa jiji kuwafukuza katika maeneo ambayo wamekatazwa kufanya biashara ambapo mara kadhaa halmashauri ya jiji imekuwa ikiwataka kuhamia katika maeneo waliyopangiwa. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wanaofanya biashara katika eneo lilopo…