Dodoma FM
Dodoma FM
16 October 2024, 19:28
Na Mindi Joseph Ubunifu wa matumizi darasa tembenzi katika Mkoa wa Dodoma umehamasiha kwa kiwango kikubwa wananchi kujitokeza kujiandikisha daftari la mppiga kura. Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere Kata ya Mpunguzi Bwn. Eliaton Shadrack anaelezea juu ya mwitikio wa wananchi…
16 October 2024, 19:27
Na Yusuph Hassan. Siku ya Wateknolojia Dawa Kitaifa Iimefanyika Jijini Dodoma Ikiwa na kauli mbiu Isemayo “Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini tuwajibike pamoja”. Katika kuadhimisha siku wa Wateknolojia Dawa Duniani ambayo hufanyika Oktoba 16 kila mwaka,…
15 October 2024, 19:29
Na Noel Steven Mamlaka ya maji safi Mpwapwa (MPWUWSA) imekutana na wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa katika wiki ya huduma kwa mteja kujadili kero za maji zinzoawakabili wananchi kwa sasa. Katika kikao hicho , wananchi wameishauri mamlaka hiyo kufanya ukarabati…
15 October 2024, 19:29
Na Noel Steven. Utekelezaji wa elimu jumuishi hapa nchini unakabiliwa na changamoto ya miundombinu thabiti inayowezesha wanafunzi mwenye mahitaji maalumu kuchangamana katika kupata elimu. Wadau wa utekelezaji wa mpango wa Elimu jumuishi wamesema kuwa kuna ulazima vikwazo vya kisera,…
15 October 2024, 19:29
Na Léonard Mwacha Ukosefu wa usawa wa kijinsia unaosababishwa na mila na desturi unadhoofisha uwezo kamili wa wanawake wa vijijini kujikwamua kiuchumi. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya mwanamke anayeishi kijijini na kutambua mchango wake katika uzalishaji wa chakula…
15 October 2024, 19:28
Na Anwary Shabani. Kunawa mikono mara kwa mara ni moja ya kanuni ya afya inayosaidia jamii kuepuka magonjwa yatokanayo na bakteria. Ikiwa leo ni Oktoba 15, siku ya kunawa mikono duniani, wananchi jijini Dodoma wanaeleza umuhimu wa kunawa mikono mara…
14 October 2024, 19:58
Na Mindi Joseph. Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kumtia nguvuni mwalimu ambaye ni mtuhumiwa wa ubakaji na amefikishwa mahakamani kujibu tuhumu zinazomkabili. Tukio hilo la ubakaji limetokea katika kijiji cha Nhinhi kilichopo umbali wa Km 50 kutoka ndani ya…
14 October 2024, 19:57
Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa . Amesema hayo Octoba 11 wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa…
14 October 2024, 19:57
Na Mariam Kasawa. Wakazi jijini Dodoma wametakiwa kuachana na ufugaji holela ambao umekuwa ukichangia kwa kiasi kikubwa kuangamiza miti inayo pandwa. Bwn. Innocent Makomba Afisa mazingira amesema hayo katika mahojiano maalum baada ya zoezi la upandaji miti katika shule ya…
14 October 2024, 19:56
Na Leonard Mwacha. Wilaya ya Bahi inatarajiwa kuongeza pato lake la ndani kutokana na ushuru wa vibanda vya biashara pamoja na ushuru wa bishara ndogo ndogo. Bwn. Jeremia Maximilian mjumbe ngazi ya ustawi wa jamii Bahi sokoni amesema eneo ambalo…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-