Recent posts
16 August 2023, 7:00 pm
Vijana Nchini watakiwa kuwa na uthubutu
kwa mujibu wa vijana haoa wanasema kuwa kupitia mjadala huo uliofanyika katika ukumbi wa kambarage uliopo katika jengo la hazina Jijini dodoma umetoa funzo juu ya masuala mbalimbali ikiwemo masula ya uongozi na Demokrasia nchini. Na Thadei Tesha. Vijana nchini…
16 August 2023, 5:09 pm
Umaskini watajwa kuchangia lishe duni
Lishe ni muhimu kwa afya ya Watoto na Watu wazima ambapo ulaji duni kwa Watoto unaweza kusababisha mashambulizi ya maradhi kama vile utapiamlo na udumavu wa mwili. Na Yussuph Hassan. Ukata wa Maisha pamoja na Elimu duni kwa baadhi ya…
16 August 2023, 2:52 pm
Muhimbili mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba
Amesema kuwa wataanza na kliniki za kawaida kisha hatua za upandikizaji zitafutwa kwa kushirikiana na wataalamu elekezi kutoka nje ya nchi ili kufanyikisha huduma za upandikizaji mimba ambao wataelendelea kuwajengea uwezo wataalam wa Hospitalini. Na WAF, Dodoma. Hospitali ya Taifa…
16 August 2023, 1:53 pm
Usawa kijinsia sio kukandamiza kundi fulani
Kikao kazi hicho cha siku moja, kinapokea taarifa za utekelezaji wa sekta na wadau kuhusu usawa wa kijinsia kwa kipindi Januari hadi Juni, 2023. Na WMJJWM, Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt…
15 August 2023, 5:44 pm
Wafanyabiashara Sabasaba walalamika kusumbuliwa
Ikumbukwe kuwa kituo cha daladala katika soko hilo kilihamishiwa katika soko la Machinga complex lililopo Bahi road Jijini Dodoma. Wafanyabishara katika eneo la sabasaba wamelalamika kusumbuliwa na baadhi ya watu wanao dai kupewa eneo hilo kwaajili ya kuuzia nguo za…
15 August 2023, 3:42 pm
Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine
Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…
15 August 2023, 2:32 pm
Serikali yazindua kituo cha umahiri wa masuala ya afya kidigitali
Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA Wizara ya Afya Bw. Silvanus Ilomo amefafanua namna kituo hicho kitakavyosaidia kuboresha huduma za afya. Na Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amezindua Kituo cha Umahiri katika masuala ya afya kidigitali (Center…
15 August 2023, 1:18 pm
Viongozi wa dini watakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji mbalimbali
Viongozi pia wamekumbushwa kuendelea kuliombea Taifa. Na Seleman Kodima. Wito umetolewa kwa watumishi na Viongozi wa Dini kuwa na Moyo wa kusaidiana watu wenye mahitaji mbalimbali pindi wanapokuwa kwenye majukumu ya utumishi. Wito huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa…
15 August 2023, 9:55 am
Mabadiliko ya bei kuongeza upatikanaji wa maji Dodoma
Ongezeko hilo la bei za maji limechangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya kiuchumi duniani. Na Selemani Kodima. Baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Kuweka wazi mabadiliko ya bei za huduma za maji zitakazoanza kutumika…
14 August 2023, 6:25 pm
Wananchi watakiwa kufahamu umuhimu wa Parachichi
Kwa mujibu wa Jarida la Jumuiya ya Moyo la Amerika linaelezea kuwa kula Parachichi kunaweza kupunguza hatari ya Ugonjwa wa Moyo na Mishipa kulingana na utafiti mpya uliochapishwa hivi karibuni. Na Abraham Mtagwa. Wananchi Jijini Dodoma wameshauriwa kuwa watumiaji wazuri…