Recent posts
28 August 2023, 12:30 pm
Wananchi wafunguka kufuatia kauli ya Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Ikumbukwe kuwa, Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 1970 kifungu cha 6, inakataza mtu yeyote ambaye hatumikii Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala jeshi lolote lililowekwa kwa mujibu wa sheria kuvaa vazi rasmi…
28 August 2023, 11:58 am
Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kunde kiafya
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO, imesema zao la Kunde na vyakula vyote vya jamii ya kunde ni nafuu na vitamu huku vikiwa na kiwango kikubwa cha protini na hivyo huweza kutumiwa badala ya…
28 August 2023, 10:13 am
Milki 60,000 kusajiliwa Kigoma na Chalinze
Kati ya Mwezi Julai 2023 hadi Agosti 2023 zaidi ya makazi 3,000 (Manispaa ya Kigoma Ujiji) na makazi 5,000 (Halmashauri ya Chalinze) yametambuliwa na kupangwa. Na Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji…
21 August 2023, 6:15 pm
Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto
Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…
21 August 2023, 5:58 pm
Mapato ya ndani kukamilisha kituo cha afya Nagulo Bahi
Kituo hicho cha afya kimetumia mapato ya ndani katika ujenzi wake huku wananchi wakichangia milion 6 na Mbunge wa jimbo hilo akichangia milion 6. Na Mindi Joseph. Jumla ya shilingi milion 62 zimetumika katika ujenzi wa kituo cha afya wilayani…
21 August 2023, 5:09 pm
Yafahamu madhara ya kuweka simu karibu na kichwa wakati wa kulala
Kwa mujibu wa chapisho la Ukurasa wa gazeti la Mwananchi la Febrauari 19,2021 linasema kuwa, Madaktari bingwa wa Ubongo na Mishipa ya fahamu na wale wa Magonjwa ya Saratani wanaonya kuwa kulala karibu na simu kuna madhara kiafya na kunaweza…
21 August 2023, 4:04 pm
Masoko ya nje chanzo tikiti maji kuadimika nchini
Tunda la tikiti ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya ya mwanadamu kutokana na madini yaliyo ndani yake kama vile Calcium na vitamin A. Na Neema Shirima. Baadhi ya wafanyabiashara wa tunda la tikiti maji katika soko kuu …
17 August 2023, 4:19 pm
Bei ya maharage yazidi kupaa sokoni
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilibainisha bei ya mazao ya chakula ikiwemo maharage imepungua kutoka asilimia 33.5 hadi asilimia 28.3 kwa mwaka ulioshia mwezi Julai 2023 ikilinganishwa na mwaka ulioshia mwezi Juni…
17 August 2023, 3:40 pm
Nani anapaswa kumlipa dalali kati ya mpangaji na mwenye nyumba?
Biashara ya udalali inekuwa ikifanywa na baadhi ya watu kwa lengo la kujipatia kipato na kuendesha maisha yao. Na Aisha Alim. Utaratibu wa upatikanaji wa nyumba za biashara na nyumba za kuishi kupitia madalali umekuwa ukihusisha gharama za ulipwaji wa…
17 August 2023, 2:02 pm
Mazao 13 nchini yatajwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani
Na Mindi Joseph. Jumla ya mazao 13 nchini yametajwa kutumia mfumo wa stakabadhi ghalani ikiwa ni hatua kubwa kutoka mazao machache ndani ya miaka 3 iliyopita. Hii ni kufuatia uhamasishaji wa matumizi ya mfumo huu kwa wananchi. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji…