Dodoma FM

Recent posts

2 June 2021, 9:55 am

Serikali yaweka mkakati wa kumaliza vikwazo vya biashara na Kenya

Na; Mariam Matundu. Serikali kupitia wizara ya viwanda na biashara imeweka mikakati ya kuhakikisha inamaliza vikwazo vya kibiashara kati ya nchi ya Kenya na Tanzania ili kuimarisha biashara kati ya nchi hizo mbili. Hivi karibuni kumekuwa na mikutano kati ya…

2 June 2021, 9:27 am

Wakazi wa chitelela wakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa chitelela Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wameendelea kukabiliwa na changamoto ya kukosa huduma ya maji safi na salama kwa muda mrefu. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa eneo hilo wamedai…

1 June 2021, 1:46 pm

Wazazi wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanatimiza malengo

Na; Shani Nicolous. Kuelekea siku ya mtoto wa Afrika juni 16 shirika la Mercy Empowerment Foundation limeandaa kambi ya watoto ya siku tatu kwaajili ya kuwafundisha stadi za kazi. Mercy Empowerment Foundation ni shirika linalojihusisha na masuala ya watoto, Vijana,…

1 June 2021, 11:53 am

TMA yakutana na wadau wa sekta ya kilimo na mifugo jijini Dodoma

Na ;Victor Chigwada. Wadau wa sekta ya kilimo na mifugo wameelezea namna watakavyotumia utabiri wa hali ya hewa kufanikisha kazi zao kwa ufanisi zaidi. Wakizungumza katika warsha iliyofanyika katika chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo iliyo andaliwa na mamlaka ya…

1 June 2021, 10:29 am

Jiji la Dodoma laagizwa kupanda miti katika maeneo yake yote

Na; Mariam Matundu. Waziri mkuu wa Jmuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassimu Majaliwa ameliagiza jiji la Dodoma kuweka mpango mkakati wa maeneo yaliyopimwa na yanayopimwa kupandwa miti ili kuifanya Dodoma kuwa ya kijani . Waziri mkuu ametoa kauli hiyo wakati…

1 June 2021, 6:09 am

Wafanyabishara waiomba serikali kurahisisha usafirishaji wa mizigo

Na; Benjamin Suluwano. Wafanyabiashara wa soko la sabasaba wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ya kurahisisha usafirishaji wa mizigo kutoka soko la Job Ndugai kwenda sokoni . Wakizungumza na Dodoma fm baadhi ya wafanyabiashara wamesema wanaomba wapunguzie ushuru na serikali iongeze…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger