Recent posts
22 July 2021, 8:45 am
Wafanyabiashara waliopo mnada wa Dabalo wametakiwa kufuata taratibu ili kujiking…
Na; Benard Filbert. Wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali wanaofanya shughuli zao katika mnada wa Dabalo wilaya ya Chamwino wametakiwa kufuata maelekezo yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dodoma kila mmoja kuvaa barakoa na kuzingatia kuweka maji ya kunawa ili kujikinga na…
22 July 2021, 8:10 am
Wazazi wametakiwa kuzingatia haki za watoto katika familia
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa wazazi katika jamii kuzingatia haki za watoto wakati wa maamuzi mbalimbali katika familia. Akizungumza na Dodoma fm msaidizi wa kisheria kutoka Wilaya ya Chamwino Haroni Amos Malima amesema kuwa watoto wanatakiwa kushiriki mambo mbalimbali…
22 July 2021, 6:25 am
Wajasiriamali wanufaika na udhamini wa taasisi ya Pass Trust
Na;Mindi Joseph . Takribani Wajasiriamali milioni 1.7 wamenufaika na udhamini wa taasisi ya Pass Trust ambayo imelenga kupunguza umasikini nchini kwa kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa wakulima. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Kaimu Mkurungezi wa Pass Trust Annah…
20 July 2021, 12:37 pm
Mbunge wa jimbo la Bahi aahidi kukamilisha vyumba vya madarasa katika kata ya…
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mpalanga Wilaya ya Bahi wameishukuru serikali kupitia mbunge wa jimbo hilo Mh. Kenneth Nollo kwa kuwaahidi kukamilisha vyumba vya madarasa pamoja na ukarabati wa kisima cha maji. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi…
20 July 2021, 12:20 pm
Wakazi wa Masinyeti waishukuru Dodoma fm kwa kuwasaidia kutatuliwa kero ya maji
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Masinyeti kata ya Iduo wilayani Kongwa wameishukuru Dodoma redio kwa juhudi kubwa waliofanya ya kuripoti changamoto ya adha ya maji katika eneo hilo na hatimaye kuchimbiwa kisima cha maji na Wakala ya Usambazaji…
20 July 2021, 11:57 am
Ukosefu wa madarasa kwa shule za msingi watajwa kuwa chanzo cha matokeo mabaya M…
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa madarasa katika shule za msingi na sekondari wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma imetajwa kuwa chanzo cha matokeo mabaya kwa wanafunzi hivyo kusababisha Mkoa wa dodoma kushika nafasi ya tatu kutoka mwisho kitaifa. Akizungumza na Dodoma…
19 July 2021, 11:12 am
Serikali yatakiwa kushirikiana na mashirika binafsi ili kutokomeza vitendo vya u…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa serikali kutengeneza umoja na mashirika binafsi pamoja na jamii nzima ili kutokomeza vitendo vya ukatili nchini.Akizungumza na Dodoma fm meneja mradi wa shirika lisilo la kiserikli la {Action for community care} Bi, Stella Matemu…
19 July 2021, 10:35 am
Wakazi wa kijiji cha Nholli kuanza ujenzi wa zahanati
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Nholi kata ya Mpalanga wilayani Bahi wamekabidhiwa mifuko miatatu ya saruji kwaajili ya ujenzi wa zahanati.Wakizungumza na taswira ya habari wakazi wa kijiji hicho wamemshukuru mbunge wa jimbo la Bahi mh. Kenneth Nollo…
19 July 2021, 9:53 am
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameisimamisha kazi kampuni ya upimaji wa ardhi eneo la Mi…
Na ;Benard Filbert. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Antony Mtaka ameisimamisha kampuni ya upimaji wa ardhi ambayo imekuwa ikitekeleza kazi zake eneo la kata ya Mkonze. Mtaka ametoa agizo hilo baada ya kusikiliza kero za wananchi wa mitaa mbalimbali…
16 July 2021, 1:43 pm
Wakazi jijini Dodoma wameiomba serikali kuangalia upya makato yanayo tozwa kwa s…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Jijini Dodoma wamelalamikia ukubwa wa makato yanayotozwa kwa sasa katika miamala ya fedha kwa njia ya simu, huku wakiomba Serikali kuangali tena sheria hiyo upya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa makato…