Recent posts
26 July 2021, 10:48 am
Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK wapelekea wanafunzi kutembea umb…
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi wa kata hiyo hali inayowalazimu kutembea umbali wa kilomita 7 hadi kata ya BUSI kwa ajili ya masomo. Hayo yameelezwa na wakazi wa…
26 July 2021, 10:13 am
Wakazi wa Chamwino walalamikia ukosefu wa huduma bora za Afya kwa watu wa makund…
Na; Shani Nicolous. Wakazi wa Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa huduma bora za afya kwa watu wa makundi maalumu kama wazee, watoto ,akina mama wajawazito na walemavu. Wakizungumza na Dodoma Fm kupitia kipindi cha Dodoma live wamesema…
26 July 2021, 8:47 am
Wakulima wa zao la Mtama mkoani Dodoma wanufaika na masoko ya uhakika
MAKALA Na;Mhindi Joseph. Mtama ni miongoni mwa mazao ya nafaka yanayolimwa kwa wingi nchini na duniani kote. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara na lina stahimili hali ya ukame likilinganishwa na mazao mengine ya nafaka. Kutokana na…
23 July 2021, 12:58 pm
Wanasayansi watakiwa kuunganisha nguvu na serikali ili kuwakomboa wakulima
Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda amesema wanasanyansi wanatakiwa kuunganisha nguvu na serikali ili kusaidia kuwakomboa wakulima nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa wiki ya pass Trust Jijini Dodoma Mh Mizengo pinda amesema kilimo ni sanyasi hivyo…
23 July 2021, 12:41 pm
Wakazi wa Matongoro wakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Matongoro Wilaya ya Kongwa wanakabiliwa na uhaba wa watumishi katika huduma ya afya pamoja na nyumba za watumishi hao. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesena wanakabiliwa na uhaba wa…
23 July 2021, 12:26 pm
Wazazi wametakiwa kuwapataia watoto muda wa kujisomea
Na ; Benard Filbert. Wazazi wametakiwa kuwapunguzia majukumu ya kifamilia watoto wao ambao wapo madarasa ya mitihani ili waweze kujisomea. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Chemba bw. Gadri Lukumai wakati akizungumza na taswira ya habari ambapo amesema kuwa…
23 July 2021, 12:11 pm
Mkuu wa mkoa wa Dodoma ameitaka Benki ya mwalimu(MCB) kuwasaidia walimu kupata m…
Na; Mindi Joseph. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ameitaka benki ya Mwalimu kuwasaidia walimu nchini kupata mikopo yenye masharti nafuu. Akizungumza jijini Dodoma wakati akizindua mpango wa mikopo ya mashine za uzalishaji mali ujulikano kama Mwalimu na Ujasiriamali…
22 July 2021, 3:35 pm
RUWASA yatatua kero ya maji Masinyeti iliyo dumu kwa miaka ishirini
Na; Benard Filbert. Wakala wa maji vijijini RUWASA katika wilaya ya Kongwa wamefanikiwa kuchimba kisima cha maji katika kijiji cha masinyeti ambacho kitasaidia kuondoa changamoto ambazo wakazi hao walikuwa wakikutana nazo ikiwepo kutembea umbali mrefu kufuata maji. Hayo yameelezwa na…
22 July 2021, 2:35 pm
Immelezwa kuwa mila potofu katika jamii zinachangia watu kushindwa kutoa taarifa…
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika vyombo vya usafiri hasa wa umma vimekithiri ingawa bado watu wana uelewa mdogo kuhusu ukatili huo. Akizungumza na Dodoma Fm mkaguzi wa polisi dawati la jinsia Teresia Mdendemi amesema…
22 July 2021, 9:09 am
Wakazi wa Mlanje walalamikia uhaba wa walimu na na uchache wa vyumba vya madaras…
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mlanje Kata ya Matongoro Wilaya ya kongwa wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya walimu wa shule ya msingi pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…