Recent posts
2 September 2021, 1:42 pm
Chanjo ya UVIKO 19 inamuepusha mtu alie chanjwa dhidi ya homa kali na madhara ya…
Na;Yussuph Hans. Inaelezwa kuwa moja ya sababu kubwa ya kupata chanjo ya UVIKO-19 ni kumuepusha mtu aliyechanjwa dhidi ya homa kali, pamoja na madhara yake pindi akiambukizwa virusi vya Korona. Hayo yamebainishwa na Mtaalamu kutoka kikosi kazi cha kitaifa cha…
2 September 2021, 8:22 am
Walio sababisha maradhi ya chanjo kwa mifugo wasakwa
Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameagiza kutafutwa mara moja kwa wataalamu wa mifugo waliotoa chanjo ya mifugo katika Kijiji cha Mlazo Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, na kusababisha baadhi ya mifugo kufa na…
1 September 2021, 1:06 pm
Wakazi wa Jiji la Dodoma waipongeza Serikali kwa kufanya marekebisho sheria ya t…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Mkoani Dodoma wamepongeza hatua ya Serikali kufanyia marekebisho sheria mpya ya tozo za miamala huku wakiomba serikali kuendelea kuangalia namna ya kupata fedha za kuboresha huduma za kijamii Nchini. Wakizungumza na taswira ya habari kwa nyakati tofauti…
1 September 2021, 12:55 pm
Kata ya Masanga yaiomba serikali kuwasaidia kuongeza vyumba vya madarasa
Na; Victor Chigwada. Licha ya jitihada za wananchi wa Kata ya Msanga Wilayani Chamwino katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa wameiomba Serikali kuwaongezea nguvu ya ujenzi wa madarasa pamoja na walimu Baadhi ya wananchi hao wakizungumza…
1 September 2021, 12:44 pm
EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Na;Mindi Joseph . Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei za mafuta kutokana na kubadilika kwa bei katika Soko la Dunia na gharama za uagizaji. Bei ya mafuta kupanda itaanza kutumika kuanzia leo…
1 September 2021, 12:11 pm
Dawati la jinsia Dodoma lasema hakuna tukio la ndoa za utotoni lililo ripotiwa t…
Na;Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa kwa kipindi cha miezi nane tangu januari mpaka Agost mwaka huu 2021 hakuna tukio la ndoa za utotoni lililo ripotiwa dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Dodoma Mjini . Hayo yamesemwa na mkaguzi msaidizi wa…
31 August 2021, 12:31 pm
Wahandisi 17 wachukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na tar…
Na; Mariam Matundu. Wahandisi 17 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na taratibu za taaluma yao kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick…
31 August 2021, 12:13 pm
Kamati ya Bunge ya haki maadili na madaraka ya Bunge yatoa ripoti Bungeni kuhus…
Na;Yussuph Hans. Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa Ripoti yake leo Bungeni Dodoma kuhusu shauri la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Bunge na kutoa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo ya Bunge. Akisoma taarifa…
31 August 2021, 11:56 am
Mnada wa Dabalo wakabiliwa na ukosefu wa matundu ya vyoo
Na; Beanrd Filbert. Ukosefu wa matundu ya vyoo katika mnada wa Dabalo kata ya Dabalo wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wafanyabiashara hali inayoweza kuhatarisha afya zao. Hayo yameelezwa na Diwani wa kata ya Dabalo Bwana Isihaka Rajab wakati akizungumza…
31 August 2021, 11:35 am
Ugonjwa wa uviko 19 watajwa kuathiri nguvu za kiume
Na; Selemani Kodima. Imeelezwa kuwa athari mojawapo anayoipata Mtu aliyepata Virusi vya Ugonjwa wa Uviko-19 ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume. Hili linajiri baada ya Hivi karibuni ripoti ya utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Miami nchini Marekani kueleza…