Recent posts
17 March 2023, 4:27 pm
Juhudi za serikali kuinua kilimo na wakulima wa zabibu Dodoma
Serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kulifufua shamba la Zabibu lililopo eneo la Chinangali 2 mkoani Dodoma, ufufuaji wa shamba hilo unakwenda sambamba na ujenzi wa kiwanda kikubwa kwa ajili ya kuchakata zabibu hizo. Na Alfred Bulahya. Serikali kupitia wizara…
17 March 2023, 4:04 pm
Wazazi waliokatisha watoto masomo kukamatwa
Baadhi ya wazazi wanadai elimu zote mbili zina umuhimu huku wengine wakibainisha kuwa walimu pia wanachangia kuongeza kwa utoro shuleni. Na Nizar Khalfan. Zoezi la ukamataji la wazazi wa wanafunzi watoro limeanza wilayani kondoa ambapo zaidi ya wazazi kumi na…
17 March 2023, 3:15 pm
Wamiliki wa nyumba za kulala wageni Bahi watakiwa kufuata taratibu na sheria
Ni marufuku watu wa jinsia moja kulala kwenye chumba kimoja, badala yake sheria imeruhusu watu wawili wa jinsia tofauti kulala chumba kimoja lakini waliohalalishwa kwa mujibu wa imani yao. Na Benard Magawa. Mkuu wa Jeshi la Polisi wilaya ya Bahi…
16 March 2023, 4:51 pm
Jamii yatakiwa kuwa na muamko wa kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia
Nini kifanye ili kutoa mwamko kwa jamii hasa kuanzia ngazi za familia na mitaa katika kuripoti matukio ya ukatili. Na Fred Cheti Jamii yatakiwa kuona umuhimu wa kushiriki katika kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia yanayotokea katika maeneo yao. Hayo…
16 March 2023, 3:39 pm
DC Gondwe apiga marufuku wanafunzi kuchunga mifugo siku za masomo
ni vema wazazi kupunguza tabia ya kuwa wakali kwa watoto wao na badala yake wajenge urafiki kwa kuzungumza nao mara kwa mara ili wasiwaogope , bali wawe huru kwa wazazi wao kueleza changamoto mbalimbali. Na Benard Magawa Mkuu wa Wilaya…
16 March 2023, 8:36 am
Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara
Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…
15 March 2023, 6:21 pm
Serikali kuboresha miundombinu ya mifugo katika ranchi ya Narco
Uwekezaji huo wa serikali unalenga kufanya ufugaji wa kisasa zaidi wenye tija ambao utaleta manufaa kwa taifa na wananchi kwa ujumla. Jumla ya Bilion 4.6 zimewekezwa katika ranchi ya Taifa NARCO iliyopo Wilayani Kongwa ili kuboresha miundombinu ya Mifungo. Naibu…
15 March 2023, 6:06 pm
Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…
15 March 2023, 4:28 pm
Wananchi wajeruhiwa na wengine kupoteza makazi baada ya mvua kubwa kunyesha
Nyumba zipatazo 16 zimebomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali,mkoani Dodoma na kusababisha baadhi ya wananchi kujeruhiwa huku wengine wakibaki bila makazi. Na Alfred Bulahya. Nyumba zipatazo 16 zimebomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, katika…
15 March 2023, 3:23 pm
Wananchi watarajia kuondokana na tatizo la kukosekana kwa daraja Bahi
Wananchi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosekana kwa daraja la Mto Nkogwa kutokana na daraja lililokuwepo hapo awali kusombwa na maji mwisho mwa mwaka jana. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi sokoni wilaya ya Bahi Wanatarajia kuondokana na…