Dodoma FM

Recent posts

7 March 2023, 4:11 pm

Ujenzi wa barabara watajwa kuwa kichocheo cha fursa

Sekta ya barabara imekuwa na mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo usafirishaji wa bidhaa. Na Thadei Tesha. Ujenzi wa barabara kuelekea mtaa wa Ntyuka jijini dodoma unatajwa kuwa chanzo cha kuchochea zaidi fursa za kiuchumi. hayo ni kwa mjibu wa…

6 March 2023, 4:52 pm

Tamko la serikali kuelekea siku ya wanawake

Elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika nyanja mbalimbali ikiwemo kiuchumi na kiutawala ili kuimarisha usawa wa kijinsia nchini. Na Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa jamii kuhusu maendeleo ya wanawake katika…

6 March 2023, 4:46 pm

Tembo wafanya uharibifu wa ekari zaidi ya 100

Tembo hao wamesababisha uharibifu mkubwa katika mashamba hayo na kuwaacha wananchi na sintofahamu. Na Alfred Bulahya Kundi la Tembo wanaokadiriwa kuwa zaid ya 300 wamevamia mashamba ya wananchi katika kijiji cha Magungu Kubi katika kata ya Mpendo walayani Chemba na…

6 March 2023, 12:29 pm

Wanawake watakiwa kuacha kuwaficha watoto wenye ulemavu

Baadhi ya vitu ambavyo  vimekabidhiwa kwa watoto hao ni pamoja na magodoro,taulo za kike,mavazi,sabuni ,mafuta ya kupaka na vitu vingine  ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kila mwaka wa kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Na Seleman Kodima. Wito…

6 March 2023, 11:40 am

Mpwapwa yatarajia kuanza  kilimo cha umwagiliaji

Bwawa hilo ambalo linajengwa kati ya kijiji cha Chunyu na Ng’ambi wilayani Mpwapwa hadi sasa umefikia asilimia 30 huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Na Mariam Kasawa Jumla ya shilingi bilioni 27 zimetolewa ili kukamilisha uchimbaji wa bwawa litakalo…

6 March 2023, 10:22 am

Mbugani watakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa kwa wakati

Shule hiyo ambayo ni shule shikizi inatakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa madarasa mawili ambayo baada ya kukamilika kwake kutakuwa na jumla ya vyumba sita vya madarasa katika shule hiyo ya msingi Mbugani. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa…

3 March 2023, 2:50 pm

UWT Bahi walipongeza  Dawati la Jinsia na Watoto

Mkuu huyo ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za ukatili ili kumsaidia kila mmoja kuishi kwa furaha . Na Bernad Magawa Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunuani ambayo hufanyika machi  8 kila mwaka, Jumuiya ya wanawake…

3 March 2023, 2:05 pm

Wananchi watumie kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa kupanda miti

Hatua hii inatoa tafsiri ya moja kwa moja na kuhitaji uhamasishaji wa pamoja wakufikia azma  serikali ya  Lengo la  kupanda miti 5,075,000, katika kipindi cha miaka minne. Na Selemani Kodima Wito umetolewa kwa wananchi jijini Dodoma kutumia kumbukizi ya siku…

3 March 2023, 1:14 pm

Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo

Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…

3 March 2023, 12:29 pm

WCF kuendelea kuboresha utoaji huduma

Dkt.Mduma amesema kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Machi 2021 hadi Februari 2023 Waajiri wapya 5,250 wamejisajili WCF huku kati ya waajiri hao asilimia 99.27% ni waajiri wakubwa, huku asilimia 98.71% ni waajiri wa kati na waajiri wa chini ni asilimia…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger