Dodoma FM

Recent posts

17 March 2023, 4:34 pm

Wananchi kulipwa fidia ya bilioni 10 kupisha ujenzi wa barabara Ntyuka

Barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami  inagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 38 na  hadi kufikia mwezi Feburuary ujenzi umefikia asilimia 4. Na Mindi Joseph. Jumla ya wananchi 1522 Mkoani Dodoma wanatarajiwa kulipwa fidia ya shilingi bilioni 10 ili kupisha…

17 March 2023, 4:27 pm

Juhudi za serikali kuinua kilimo na wakulima wa zabibu Dodoma

Serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kulifufua shamba la Zabibu lililopo eneo la Chinangali 2 mkoani Dodoma, ufufuaji wa shamba hilo unakwenda sambamba na ujenzi wa kiwanda kikubwa kwa ajili ya kuchakata zabibu hizo. Na Alfred Bulahya. Serikali kupitia wizara…

17 March 2023, 4:04 pm

Wazazi waliokatisha watoto masomo kukamatwa

Baadhi ya wazazi wanadai elimu zote mbili zina umuhimu huku wengine wakibainisha kuwa  walimu pia wanachangia kuongeza kwa  utoro shuleni. Na Nizar Khalfan. Zoezi la ukamataji la wazazi wa wanafunzi watoro limeanza wilayani kondoa ambapo zaidi ya wazazi kumi na…

16 March 2023, 8:36 am

Wafanyabiashara Sabasaba walia na ugumu wa biashara

Awali daldala za jiji la dodoma zilikuwa na kituo kikuu katika soko la sabasaba kabla ya kuhamishiwa kituo katika soko jipya la machinga complex. Na Thadei Tesha. Zikiwa zimepita wiki chache tangu kuhamishwa kwa daldala katika eneo la sabsaba jijini…

15 March 2023, 6:21 pm

Serikali kuboresha miundombinu ya mifugo katika ranchi ya Narco

Uwekezaji huo wa serikali unalenga kufanya ufugaji wa kisasa zaidi wenye tija ambao utaleta manufaa kwa taifa na wananchi kwa ujumla. Jumla ya Bilion 4.6 zimewekezwa katika ranchi ya Taifa NARCO iliyopo Wilayani Kongwa ili kuboresha miundombinu ya Mifungo. Naibu…

15 March 2023, 6:06 pm

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger