Dodoma FM

Recent posts

27 March 2023, 3:42 pm

Wananchi washiriki ujenzi wa barabara Bahi sokoni

Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi sokoni wamejitokeza kwa wingi kushiriki Ujenzi wa Barabara inayotarajiwa kuunganisha mawasiliano ya wananchi wa kijiji hicho na kitongoji cha Sanduli ambacho hakikuwa na barabara. Barabara hiyo ambayo inajengwa kwa nguvu za wananchi…

27 March 2023, 2:47 pm

Wadau wa Elimu watakiwa kutumia mipango kazi kuleta mapinduzi

Baadhi ya wadau wa elimu na viongozi wa serikali za mitaa katika kata nne za halmashauri ya wilaya ya chamwino walioshiriki mafunzo hayo wamesema kuwa kupitia mafunzo hayo kumekuwa na matokeo chanya.. Na Seleman Kodima. Wadau wa Elimu wilayani Chamwino…

27 March 2023, 2:43 pm

Biashara ya ufugaji wa njiwa na faida zake

Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi. Na Thadei Tesha. Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi. Bw.…

27 March 2023, 2:20 pm

Wananchi Kondoa wasisitizwa kilimo cha umwagiliaji

Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kujikita katika kilimo Cha Umwagiliaji Ili kuondoa Janga la njaa, kujiongezea kipato na kukabiliana na mabadiliko ya tabi ya nchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule…

24 March 2023, 4:30 pm

Madereva wa daladala walia na hali mbaya ya biashara

Awali madereva hao walikuwa wakifanyia biashara za uasafirishaji katika kituo cha sabasaba kabla ya kuahamishiwa katika kituo kipya cha machinga Complex . Na Thadey Tesha. Baadhi ya madereva wa daladala jijini Dodoma wamesema kuwa licha ya serikali kuwahamishia katika kituo…

24 March 2023, 4:19 pm

Wakazi wa Ndogowe walazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya afya

Kukosekana kwa baadhi ya huduma za afya katika zahanati ya kijiji cha Ndogowe imesababisha wananchi kutopata huduma ya afya hali inayowalazimu kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa baadhi ya huduma za afya katika…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger