Recent posts
18 April 2023, 2:07 pm
Serikali yawataka wamiliki na wasambazaji wa mifuko ya plastiki kujisajili
Hivi karibuni Baraza la uhifadhi na usimamizi wa Mazingira NEMC kupitia Mkurugenzi wake Mkuu Dkt Samuel Gwamaka lilitoa maelezekezo kwa wamiliki na wazalishaji wa mifuko ya plastiki nchini kuhakikisha wanajisajili. Na Fred Cheti. Serikali hivi karibuni kupitia baraza la hifadhi…
18 April 2023, 1:24 pm
Migogoro baina ya viongozi Bolisa yazorotesha maendeleo
Katibu wa jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi wilayani humo amekemea mwenendo wa migogoro hiyo kwani itawagharimu katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Na Nizar Mafita. Migogoro na maslahi binafsi ya viongozi na wananchi katika Kata ya Bolisa…
17 April 2023, 4:50 pm
Wananchi wakosa elimu ya mboga lishe
Mboga lishe ni miongoni mwa bidhaa za mbogamboga zinazopatikana katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ingawa bidhaa hii imekuwa ikipatikana kwa uchache . Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa mboga lishe jijini Dodoma wamesema kuwa ukosefu wa elimu pamoja na…
17 April 2023, 2:45 pm
Hospitali ya wilaya Bahi kuanza kutoa huduma za watoto Njiti
Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa halmashauri ya wilaya ya Bahi zaidi ya miaka kumi iliyopita, wananchi wameanza kupata huduma muhimu za afya ambazo walizifuata katika hospitali ya mkoa wa Dodoma lakini kwa sasa huduma zote zinapatikana wilayani Bahi.…
17 April 2023, 2:20 pm
Yafahamu maajabu na ishara za mnyama adimu Kakakuona
Mnyama huyu anapo onekana katikajamii nini huwa kinafanyika. Na Yussuph Hassan. Jamii nyingi huamini ishara za mnyama huyo kwani anapo onekana wanajamii huwa na hamu ya kufamamu ni nini ambacho atatabiri katika jamii hiyo hivyo hufanya mila ikiwemo kupiga ngoma…
17 April 2023, 1:55 pm
Ugonjwa wa ukoma ni nini
Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia ugonjwa wa ukoma ambao, ugonjwa huo unaambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya hewa. Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu unaotokana na ukoma anaanza na…
14 April 2023, 4:05 pm
Wakulima Dodoma wasusia zao la muhogo
Zao la muhogo ni muhimu kwa matumizi ya chakula na biashara kwani ni moja kati ya zao linalo stahimili ukame na hustawi katika maeneo yenye Mvua chache. Na Mindi Joseph. Zao la Muhogo Mkoani Dodoma limetajwa kususiwa na Wakulima kufuatia…
14 April 2023, 3:12 pm
Asili ya ngoma za wagogo
Ngoma zimeendelea kuwa moja ya urithi wa katika kabila hili la wagogo ka njia njia ya kuburudika katika sherehe mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Ngoma za wagogo, ngoma hizi ni jadi ya kabila la kabila la wagogo katika shughuli mbalimbali huchezwa…
14 April 2023, 1:59 pm
RAS Dodoma aridhishwa na utekelezaji wa Miradi Bahi.
Gugu ameeleza kuridhishwa kwa kiasi kikubwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kutoa pongezi kwa uongozi wa halmashauri. Na Bernad Magawa. Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma Ally Gugu ameeleza kufurahishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Bahi huku…
14 April 2023, 1:31 pm
Chamwino waishukuru serikali ujenzi wa vyuo vya VETA
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatarajia kukamilisha ujenzi wa vyuo 25 vya Wilaya kwa kutumia nguvu kazi ya ndani yaani force account. Na Alfred Bulahya. Wananchi wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, wameishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa…