Recent posts
20 April 2023, 10:28 am
Millioni 30 kujenga uzio shule ya kigwe viziwi Bahi
Kukamilika kwa uzio huo kutawahakikishia usalama watoto shuleni hapo ambao wamekuwa wakiibiwa vitu mbalimbali zikiwemo nguo pamoja na vifaa vingine vya shule. Na Bernad Magawa. Katika kuendelea kutoa kipaumbele cha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalumu hapa nchini, serikali imepeleka…
19 April 2023, 5:42 pm
Wafanyabiashara wa mbogamboga walalamika bishara ngumu
Hii inafuati msimu wa mvua za mazika ambazo zimekoma hivi karibuni Mkoani hapa hivyo watu wengi wenye maeneo wameotesha mbogamboga mbalimbali na kuzipa kisogo mbogamboga za sokoni. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wa mbogamboga wamelalamikia kudorola kwa soko la mboga hizo…
19 April 2023, 2:43 pm
Ishara zipi ambazo kaka kuona hutabiri
Je chifu Tupa atamuwekea nini Kaka kuona ili aweze kutabiri ishara zinazo kuja. Na Yussuph Hassani. Hii ni imani ambayo ipo kwenye jamii na tulipo fika katika kijiji cha Makang’wa tulikuwa watu wa kijiji hicho wana hamu kubwa ya kutaka…
19 April 2023, 2:20 pm
BOOST kuboresha elimu kongwa
Mradi wa BOOST ulianzishwa na Serikali chini ya ufadhili wa benki ya dunia unaosimamiwa na ofisi ya Rais TAMISEMI utatumia zaidi ya bilioni 1 na milioni 352 kutekeleza ujenzi huo ambao ni moja ya afua zake. Na Bernadetha Mwakilabi. Mradi…
19 April 2023, 1:19 pm
Aina za ugonjwa wa Ukoma na tiba zake
Zipo aina mbili za ukoma je ni zipi hizo? Na Yussph Hassan. Leo Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu anazungumzia juu ya aina za Ugonjwa wa ukoma na tiba zake.
19 April 2023, 12:42 pm
Waziri Ummy aitaka Mirembe kujikita katika kukuza afya ya akili
Kituo hicho kitahusisha huduma za tiba ya akili, tafiti mbalimbali za maradhi hayo, mafunzo ya Afya za akili na kuhamasisha jamii kuwa na uelewa juu ya Afya ya akili. Na Alfred Bulahya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka Bodi…
19 April 2023, 12:23 pm
CCM Bahi yataka ujenzi wa stendi ya mabasi uchunguzwe
Suala la changamoto ya stendi mpya ya mabasi wilayani Bahi limekuwa likilalamikiwa na wananchi kwa muda mrefu kutokana na changamoto zilizopo eneo la stendi lakini adha kubwa ikiwa ni ongezeko la nauli mara mbili kutoka Bahi mpaka Dodoma mjini. Na…
18 April 2023, 6:06 pm
NEMC yaanza oparesheni kudhibiti vifungashio visivyo takiwa
Mnamo tarehe 1 Juni, 2019, Serikali ilipiga Marufuku Uzalishaji; Uingizaji nchini, Usafirishaji nje ya nchi; Usambazaji; na Matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kile kinachodaiwa kuwa mifuko hiyo ni chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na Fred Cheti. Serikali kupitia baraza…
18 April 2023, 4:49 pm
Zifahamu dalili za Ukoma
Ufahamu ugonjwa wa ukoma na dalili zake. Ugonjwa wa ukoma huambatana na dalili mbalimbali ambapo dalili hizo huchukua muda kujitokeza na leo tukiendelea kufahamu dalili zake na Dkt. Paul Shunda kutoka Wizara ya Afya kitengo cha kuzuia ulemavu baada ya…
18 April 2023, 3:39 pm
Dc kongwa akerwa na ubadhirifu wa fedha 6,394,000/=
Katika taarifa iliyosomwa inaonyesha kiasi cha shilingi milioni 6,394,000 hazijathibitika matumizi yake NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Mkuu wa wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Remidius Mwema Emmanuel ameagiza ofisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU wilaya ya Kongwa kufanya uchunguzi juu…