Recent posts
24 April 2023, 2:56 pm
Wananchi Bahi watarajia kuchangia Zaidi ya madawati 10,000
Pamoja na wilaya ya Bahi kuwa na mafanikio makubwa kitaaluma katika mkoa na taifa, tatizo la kukosekana kwa madawati lisipodhibitiwa linaweza kuwa chanzo cha kupotea kwa mafanikio hayo. Na. Bernad Magawa. Wananchi wilayani Bahi wanatarajia kuchangia zaidi ya Madawati elfu…
24 April 2023, 2:26 pm
Wananchi waomba kupatiwa elimu ya uwekezaji
Mara kadhaa vijana wamekuwa wakilalamikia kukosa fursa za kujikwamua kiuchumi ambapo moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa elimu juu ya kuzitambua fursa hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi kwa wananchi juu…
24 April 2023, 1:49 pm
Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake
Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…
24 April 2023, 1:20 pm
Uongozi wa kijiji wakwamisha ujenzi wa shule ya sekondari Manungu
Wananchi wamesema wao hawana tatizo bali wanataka viongozi wafikie muafaka kuwa shule hiyo ijengwe wapi. NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Wananchi wa kijiji cha Manungu kilichopo kata ya Sejeli wilayani Kongwa wameulalamikia uongozi wa halmashauri ya kijiji hicho hususani mwenyekiti kwa…
21 April 2023, 4:26 pm
Wananchi Kongogo waridhia mradi wa ujenzi wa skimu za umwagiliaji
Mradi huo utagharimu Bilioni 5.6 na unakadiriwa kutumia kipindi cha mwaka Mmoja na Miezi sita kukamilika. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Kongogo kata ya Babayu Wilayani Bahi wameridhia ujenzi wa Mradi wa skimu za kilimo cha Umwagiliaji kutekelezwa…
21 April 2023, 3:02 pm
Wanufaika Tasaf walalamika malipo kuchelewa
Mpaka sasa miradi hiyo ipo katika hatua nzuri za utekelezaji kwani hadi kufikia julai mwaka huu wataanza kutekeleza awamu ya pili ya miradi hiyo. Na Bernadetha Mwakilabi Wanufaika wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASAF wilayani Kongwa wamelalamikia Kuchelewa kwa…
21 April 2023, 2:37 pm
Serikali yajenga nyumba bora za walimu Bahi
Katika hatua nyingine kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ilibaini Mapungufu katika ujenzi wa vyumba viwili vya Maabara shule ya sekondari Chonama. Na. Bernad Magwa. Walimu wa shule za msingi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kuwajengea nyumba bora za makazi…
21 April 2023, 1:40 pm
Waislamu watakiwa kusheherekea sikukuu kwa amani na upendo
Waislamu Duniani Kote wanatarajia kusheherekea sikukuu ya EID siku ya kesho siku ya jumamosi . Na Fred Cheti. Kuelekea sikukuu ya Eid El Fitr wito umetolewa kwa waumini wa dini ya kiislamu pamoja na wananchi wote Mkoani Dodoma kusheherekea siku…
20 April 2023, 3:28 pm
Chakula bora ni kinga dhidi ya Ukoma
Mtaalamu wa Afya anasisitiza kama mtu atazingatia lishe bora ataepuka maambukizi ya ugonjwa huu wa ukoma. Na Yussuph Hassan. Ulaji wa chakula bora ni moja kati ya tiba ya kuepukana ugonjwa wa ukoma.
20 April 2023, 11:05 am
Taasisi na vituo vinavyo hudumia watu wengi kupigwa marufuku kutumia mkaa na k…
Watu wengi hutumia nishati hiyo kwa sababu ni rahisi kupatikana na wanaweza kumudu gharama yake tofauti na nishati nyingine kama umeme na gesi. Na Fred Cheti. Inaelezwa kuwa zaidi ya hekta 46,960 za misitu huharibiwa kila mwaka nchini kwa ajili…