Recent posts
7 April 2023, 5:51 pm
Kakakuona aonekana katika kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino
Mnyama huyu wa ajabu ana uwezo wa kujiviringisha kama mpira hasa anapokuwa hatarini, mgongo wake umefunikwa na magamba makubwa na magumu. Na Mindi Joseph. Mnyama Kakakuona ambaye ni nadra sana kuonekana hadharani ameonekana katika kijiji cha makang’wa iliyopo katika wilaya…
7 April 2023, 5:23 pm
Zifahamu athari za ugonjwa wa P.I.D
Je mtu asipopata tiba au kutozingatia tiba aliyopewa atapata athari gani. Na Yussuph Hassan. Tukiendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo matibabu yake na leo tunazungumzia juu athari…
7 April 2023, 4:59 pm
Waziri Simbachawene azindua mpango mkakati wa mwaka 2022-2027
Katika hatua nyingine Waziri Simbachawene ameeleza kwamba Mkakati huo utawezesha nchi kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ambayo yamejikita katika kupunguza umasikini na kuleta ustawi wa maisha ya watu. Na Pius Jayunga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,…
7 April 2023, 2:37 pm
Dawa zilizo kwisha muda wa matumizi zatajwa kuisababishia Serikali hasara.
Amezitaja baadhi ya hospitali hizo huku akisema dawa hizo zilizoisha muda wake zimekuwepo kwa wastani wa miezi 2 hadi miaka 10. Na Alfred Bulahya Kuwepo kwa dawa zilizokwisha muda wa matumizi yake kwenye baadhi ya hospital, vituo vya afya na…
6 April 2023, 6:09 pm
Wananchi chemba wanufaika na elimu ya utunzaji ardhi
Hali hii inatajwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwemo kukata miti, uwepo wa milima iliyozungukwa na udongo wa kichanga usioweza kushinadana na kasi ya maji, hali inayotajwa na wataalamu kuwa na athari katika kilimo. Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima…
6 April 2023, 5:53 pm
Wazazi Huzi watakiwa kuto katisha masomo ya watoto wao
Diwani wa kata hiyo anasema suala hilo limeendelea kulichukuliwa hatua kali kwa wazazi wanao jihusisha na vitendo hivyo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Wito umetolewa kwa wazazi wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino kuachana na dhana potofu ya…
6 April 2023, 5:21 pm
Wawekezaji Mundemu wapewa siku 45 kudhibiti vumbi
Hivi karibuni Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)- Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi – Dodoma na Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Bahi ilifanya Ukaguzi katika eneo la mradi huo.…
6 April 2023, 4:34 pm
Ifahamu tiba ya maambukizi ya via vya uzazi vya Mwanamke P.I.D
Huu ni mfululizo wa makala hii ya Afya ambapo kipindi kilicho pita tulingazia kuhusu P.I.D ni nini Na Yussuph Hassan. Tunaendelea na mfululuzo wa kuzungumzia juu ya Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke P.I.D, baada ya kufahamu chanzo na…
6 April 2023, 2:29 pm
Wananchi Nguji kuondokana na tatizo la huduma za afya
Jengo la zahanati ya nguji ni miongozi mwa majengo mapya zaidi ya saba ya kutolea huduma za afya yanayoendelea kujengwa wilayani Bahi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Nguji wilayani Bahi wanatarajia kuondokana na tatizo la kukosa huduma za…
5 April 2023, 5:57 pm
Serikali yatenga billioni 15 kwaajili ya kukamilishaji zahanati 300
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura alitaka kujua Je, nini mpango wa Serikali wa kumaliza ujenzi wa Zahanati kwa vijiji vilivyokamilisha ujenzi wa maboma. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema…