Dodoma FM

Recent posts

5 May 2023, 2:45 pm

Wawekezaji watakiwa kufanya tahmini ya athari za mazingira

Na Fred Cheti. Baraza la Usimamizi na uhifadhi wa Mazingira (NEMC) limewataka wawekezaji wote  wa miradi ya maendeleo nchini kufanya tathimini ya athari kwa mazingira katika miradi yao ili kuepusha migogoro itakayotokana na uchafuzi wa mazingira. Hayo yameelezwa na Bwn.…

4 May 2023, 4:09 pm

Zifahamu sifa za watoto wenye Usonji

Dkt Arapha Aragika kutoka hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe. Picha na Yussuph Hassan. Watoto wenye usonji pia wanazo sifa mbalimbali kama anavyo ainisha Dkt. Arapha. Na Yussuph Hassan. Leo tunaendelea kuzungumzia sifa za watoto wenye usonji, tukiungana…

4 May 2023, 2:58 pm

Wazazi waombwa kuchangia chakula cha Mchana shuleni

Na Bernad Magawa. Katika kuhakikisha kuwa wanafunzi wa sekondari wanakuwa makini katika ujifunzaji wawapo shuleni hususa ni nyakati za mchana, wazazi wilayani Bahi wameombwa kuwezesha upatikanaji wa chakula cha mchana shuleni ili wanafunzi waweze kujifunza kwa utullivu. Akizungumza na kituo…

4 May 2023, 2:05 pm

Watumishi wa ofisi ya Takwimu watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu

Aidha wamejadili namna ya kuendelea kuboresha takwimu,  changamoto, Mafanikio na kutafuta ufumbuzi. Na Alfred Bulahya. Wafanyakazi wa ofisi ya Taifa Takwimu (NBS) wameaswa kuendelea kuwa waadilifu katika uzalishaji wa takwimu ili kuliletea maendeleo Taifa. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri…

4 May 2023, 1:03 pm

Mchezo wa kriketi kuongeza mahudhurio ya wanafunzi

Afisa michezo wilayani Kongwa  amesema wanawajengea uwezo walimu waweze kuwasaidia watoto kumudu vitendo vya mchezo wa kriketi ili kupitia ubora wa timu za shule zao waweze kupata wachezaji wazuri wa kuunda timu za Wilaya  na pia wapate fursa ya kuchaguliwa…

3 May 2023, 5:38 pm

Mahakama kuu divisheni ya kazi yaahidi kushirikiana na osha 

Dkt.  Mlyambina amemshukuru Mtendaji Mkuu wa Usalama na Afya mahali pa kazi (OSHA) kwa kuridhia mpango wa utoaji Elimu kwa Menejimenti  ya Mahakama Kuu Divisheni ya kazi. Na Alfred Bulahya. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya  Kazi  Mhe. Yose …

3 May 2023, 5:11 pm

Wananchi kibaigwa wafunguka kero wanazo pata katika huduma za jamii

Shilingi  milioni 150 imetengwa kwaajili ya kuongeza vifaa tiba ambapo kabla ya kufika mwezi wa Saba mwaka huu kituo cha afya kibaigwa kitaanza kutoa huduma za upasuaji. NA, Bernadetha Mwakilabi. Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kibaigwa ulioko wilayani…

3 May 2023, 4:39 pm

Vijana waonywa kuporomoka kwa Maadili

Wamewashauri wazazi kukagua matumizi ya vipindi vya Televisheni majumbani mwao ili kuwaepusha watoto na vipindi viovu vinavyoweza kuharibu maadili yao. Na Bernad Magawa. Katika kuhakikisha kuwa Taifa linaendelea kuwa na vijana wenye maadili, baadhi ya wazee Wilayani Bahi wameiomba serikali…

3 May 2023, 1:59 pm

Wananchi Ng’ambi watakiwa kutunza mazingira

Amesema mazingira yakitunzwa vema yanaweza kutengeneza fursa mbalimbali kwa wananchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Mhe. Sophia Kizigo amewataka wananchi wa kijiji cha Ng’hambi wilaya humo kuwa mabalozi wa utunzaji wa mazingira illi kutengeneza fursa nyingi za…

3 May 2023, 1:25 pm

Ukosefu wa elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana wachangia ukatili

Ameeleza nini kifanyike ili kusaidia kundi hilo la vijana kupata elimu hiyo. Na Alfred Bulahya Imeelezwa kuwa kukosa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ni miongoni mwa sababu inazosababisha kuendelea kwa vitendo vya ukatili ndani ya jamii. Hayo yameelezwa…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger