Dodoma FM

Recent posts

6 Agosti 2024, 17:50

Miradi ya serikali iwanufaishe wananchi wa kawaida

Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa halmashauri ya jiji ambapo kilikuwa kikao cha taarifa cha mwaka na kuhudhuliwa na madiwani kutoka kata za jiji la Dodoma. Na Mariam Kasawa.Viongozi wametakiwa kuhakikisha miradi inayo anzishwa na serikali inawapatia fursa na…

6 Agosti 2024, 17:30

Ifahamu ngoma aina ya Mambala inayochezwa na Warangi

Tunayo ngoma kwaajili ya wanawake ambao hawajaweza kupata watoto walichezewa ngoma ya mambala. Na Yussuph Hassan.Yapo mafanikio ambayo watu wa kata ya Kingale wanayafurahia lakini bado hawasahau mila na tamaduni zao ambazo wanazienzi japokuwa kuna maendeleo mengi ya kisayansi na…

6 Agosti 2024, 17:04

Uwezeshaji wanawake ni chachu ya kuwainua kiuchumi

Uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi ni muhimu kwa haki za Wanawake, kwa Ustawi, Ushawishi, Mamlaka, na usawa wao. Na Fred Cheti.Uwezeshaji Wanawake kiuchumi unaofanywa na Serikali, Wadau, pamoja na Familia, unatajwa kuwa moja ya chachu inayoweza kuwainua Wanawake kimaendeleo katika Jamii.…

5 Agosti 2024, 18:21

Miradi yatakiwa kuhusishwa na tathmini za mazingira

Wananchi wanaendelea kuhimizwa kutunzwa Mazingira ili yawatunze kwa kuepuka kufanya shughuli zinazoathiri Mazingira ikiwemo Kilimo na Ufugaji wa kuhama hama. Na Mariam Kasawa.Miradi mikubwa ya Kilimo endelevu inayoanzishwa imetakiwa kuhusishwa na tathmini za utunzaji wa Mazingira. Kilimo kinatajwa kusaidia upatikanaji…

5 Agosti 2024, 18:00

Leo tunaangazia maendeleo katika kata ya Kingale

Wakazi wa eneo hili asili yao ni kabila la warangi kupitia fahari ya Dodoma tutafahamu asili ya kabila hili la warangi. Na Yussuph Hassan. Kata ya Kingale kwasasa imekuwa na mabadiliko makubwa tofauti na kipindi cha nyuma kwani kwa sasa…

5 Agosti 2024, 17:44

Upatikanaji wa maji Vikonje waimarika

Wanasema mwanzoni walikuwa wanapata maji yasiyo salama kutoka vyanzo visivyosahihi ila kwa sasa changamoto hiyo imepata suluhu kupitia mradi wa maji. Na Mindi Joseph.Upatikanaji wa Maji safi na salama katika Mtaa wa Vikonje A Kata ya Mtumba Mkoani Dodoma umeimarika…

5 Agosti 2024, 17:29

Washauriwa kujiunga na vikundi kurahisisha upatikanaji wa mitaji

Na Fred Cheti.Wananchi jijini Dodoma wameshauriwa kujiunga katika vikundi mbalimbali ili kurahisha upatikanaji wa Mitaji kutoka taasisi za fedha ili kujikiwamua kiuchumi kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo na biashara. Kauli imetolewa na katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha…

5 Agosti 2024, 17:05

Utupaji taka ovyo unavyo haribu mazingira

Wananchi wanapaswa kuendelea kutunza mazingira kwa kutotupa taka ovyo, kupanda miti ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Na Mariam Kasawa.Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Jiji ya Dodoma…

2 Agosti 2024, 18:09

Leo tunatazama asili ya kata ya Kingale

Yussuph Hassan ametembelea Kingale na kuzungumza na wenyeji wa eneo hilo. Na Yussuph Hassan. Kata hii inapatikana katika wilaya ya Kingale leo tutafahamu zaidi wenyeji wa kata hii pamoja na asili ya jina kingale.

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger