Recent posts
7 July 2023, 2:58 pm
Lugha ya kiswahili ni fursa ya kiuchumi duniani
Mamlaka zinazoshughulikia masuala ya ajira ikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu zimetakiwa kuhakikisha kuwa wanaandaa na kuratibu mipango ya kutafuta nafasi za kufundisha lugha ya Kiswahili katika Nchi mbalimbali ili Watanzania waweze kwenda kutumia fursa…
7 July 2023, 1:03 pm
Halmashauri yaeleza mikakati yake ya kutatua migogoro ya ardhi
Itaundwa timu ya wataalam wa ardhi wa jiji la Dodoma kwa kushirikiana na baadhi ya wananchi hao ambayo itakaa ndani ya siku 7 na kupitia maeneo mbalimbali ya mgogoro. Na Fred Cheti. Halmashauri ya jiji la Dodoma imesema moja ya…
6 July 2023, 5:22 pm
Serikali kupitia JKT kuwafundisha stadi za kazi watoto waishio katika makao ya w…
Jeshi la Kujenga Taifa JKT limekabidhi msaada wa mchele, sukari, mafuta ya kupikia, chumvi na unga wa ugali unaozalishwa na vijana walioko kwenye kambi mbalimbali za JKT nchini. Na Mariam Matundu. Serikali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imeandaa mkakati…
6 July 2023, 4:50 pm
Bahi: Nollo kupeleka umeme, maji shule mpya ya Nagulo
Nollo amesema kufanya hivyo kutaongeza thamani katika mradi huo ulioletwa na serikali kwa lengo la kuwasaidia wananchi. Na Bernad Magawa Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji umeme pamoja na kuchonga barabara kuingia shuleni…
6 July 2023, 4:05 pm
Vijana 300 kunufaika na mradi wa kilimo Bahi
Vijana wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwani tayari vimesajiliwa na vinatambulika kisheria. Na. Bernad Magawa Vijana 300 wilayani Bahi watanufaika na mradi wa kilimo kwanza unaowashirikisha vijana kutekeleza shughuli za kilimo kupitia Mashamba Darasa ili kusaidia jamii kuwa na uhakika wa…
5 July 2023, 5:48 pm
Wakulima wa Nyanya watamani viwanda vya kusindika zao hilo
kwa sasa wastani wa bei ya nyanya sokoni ni kati ya shilingi 2000, 2500 hadi 3000 kwa ujazo wa sado moja. Na Tadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara pamoja na wakulima wa nyanya katika soko kuu la majengo jijini Dodoma wameiomba…
5 July 2023, 5:08 pm
Wachimbaji wadogo washauriwa kutumia mitambo mipya
Moja ya teknlojia ambayo inatajwa kuwa bora na rahisi mabayo wachimbbaji wadogo wa madini wanaweza kuitumia kuchenjulia dhahabu ni CIACIP. Na Fred Cheti. Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu wameshauriwa kutumia mitambo mipya kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu na…
5 July 2023, 3:31 pm
Senyamule akabidhiwa miradi ya BOOST wilayani Bahi
Senyamule amepongeza uongozi wa wilaya ya Bahi kwa mshikamano ambao umewafanya kuwa wa kwanza kukamilisha miradi hiyo. Na Bernad Magawa Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule amekabidhiwa jumla ya madarasa 51, vyoo 63, majengo 2 ya utawala pamoja…
4 July 2023, 7:28 pm
Mitaala mipya ni chachu ya vijana kujiajiri
Serikali ilitoa fursa kwa wananchi kutoa maoni yao juu ya maboresho ya rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na rasimu ya Mitaala ya elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu. Na Aisha Shaban.…
4 July 2023, 6:11 pm
Makatibu tawala watakiwa kutekeleza majukumu kwa kuzingatia utawala bora
Mafunzo hayo ya siku tatu yameandaliwa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Taasisi ya Ungozi yamehusisha Makatibu Tawala wa Wilaya 135 za Tanzania Bara. Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…