Recent posts
20 July 2023, 7:39 pm
Wananchi waomba kupatiwa elimu utunzaji wa macho
Kwa mujibu wa wataalam wa afya ya macho wanasema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa watu kuwa na mazoea ya kupima afya ya macho mara kwa mara kutokana na macho kuwa moja ya kiungo muhimu katika utendaji wa kazi wa kiumbe…
20 July 2023, 5:06 pm
Ifahamu maana halisi ya jina Bahi
Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…
20 July 2023, 4:18 pm
Mashujaa kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mji wa kiserikali Mtumba
Mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema maadhimisho hayo yamekamilika kwa asilimia 100 ambapo amesisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuadhimisha siku hii muhimu ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza katika kiwanja kipya kilichopo eneo la Mtumba. Na Mariam…
19 July 2023, 7:42 pm
Jamii yatakiwa kushirikiana na wadau kuibua changamoto zilizopo katika shule
AFNET limendelea kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati za shule Mkoani Dodoma kuhusu uendeshaji na usimamizi wa shule.Picha na George John. Shirika lisilo la kiserikali linalopinga ukatili wa kijinsia na watoto AFNET limendelea kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati za shule mkoani…
19 July 2023, 11:10 am
Jamii yatakiwa kushirikiana na wataalam kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardh…
Itakumbukwa kuwa mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa vijiji unaotekelezwa na mradi Uboreshaji wa Milki Salama za Ardhi, ni wa miaka ishirini (20) ijayo kuanzia mwaka huu 2023 mpaka 2043 ukiwa na lengo kuu la kusimamia matumizi ya ardhi…
18 July 2023, 6:30 pm
Wananchi waeleza umuhimu na faida za vikundi
Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kuweka na kukopa sasa wananchi wameelewa umuhimu wa vikundi hivyo . Na Aisha Shaban. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameeleza juu ya…
18 July 2023, 5:05 pm
Zifahamu taratibu za kutoa maoni katika vituo vya Afya na hospitali ya Rufaa
Je unafahamu utaratibu wa kutoa maoni baada ya kupata huduma katika kituo cha Afya au hospitali endapo hukuridhishwa na huduma? Na Yussuph Hassan. Imeleezwa kuwa kila kituo cha afya kina utaratibu wa kupokea maoni yanayotolewa pindi mpokea huduma anapoenda kupatiwa…
18 July 2023, 2:39 pm
Wasimamizi wa ujenzi shule ya sekondari Msalato watakiwa kuongeza kasi
Mh. Senyamule ameonesha kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi huo ambapo ametoa rai kwa wasimamizi kuongeza kasi ili yakamilike kabla ya tarehe 30 Mwezi huu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameridhishwa na utekelezaji wa ujenzi…
18 July 2023, 12:52 pm
Wanawake Bahi watakiwa kusimamia maadili ya watoto
Mbunge wa Bahi amesema kipaumbele chake ni kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa salama. Na Bernad Magawa. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Fatuma Taufiq amewaasa wanawake wilayani Bahi kusimamia maadili ya watoto ili kutokomeza viashiria vya…
14 July 2023, 7:33 pm
Wadau na wananchi watakiwa kushiriki katika utekelezaji mpango wa Ardhi
Mradi huu wa Uboreshaji usalama wa milki za ardhi unagharamiwa na Serikali kuu kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na katika Halmashauri ya Wilaya ya chamwino Mradi huo utatekelezwa katika vijiji 60 vilivyopo wilayani humo Na Seleman Kodima. Mkuu wa…