Recent posts
1 August 2023, 3:29 pm
Uwekezaji wa bandari ni chanzo cha mapato ya nchi
Maaskofu walioapishwa ni pamoja na Askofu Simon Maloda wa Dayosisi ya Dodoma, Askofu Leoanard Matia Mbole wa Dayosisi Bahi. Na Pius Jayunga. Uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam umetajwa kuwa chanzo mojawapo cha ukusanyaji wa mapato ya nchi ili…
1 August 2023, 2:51 pm
Wadau waitaka serikali kudhibiti usafirishaji wa binadamu
Asilimia 50 ya watu wanaosafirishwa wanatumikishwa kingono ilhali asilimia 38 ni utumikishwaji kwenye ajira mbalimbali. Na Fred Cheti. Wadau mbalimbali wa masuala ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu wameitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti usafirishaji wa binadamu hapa nchini.…
31 July 2023, 6:33 pm
Wazazi, walezi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu
Jamii imeendelea kusisitizwa kutowaficha watoto wenye changamoto ya ulemavu wowote bali iwaweke wazi ili waweze kupatiwa mahitaji ya msingi ikiwemo elimu. Na Pius Jayunga. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amewataka wazazi na…
31 July 2023, 6:11 pm
Wananchi watakiwa kujitokeza kuonesha bidhaa zao maonesho ya 88
Sherehe za maonesho ya nanenane hufanyika kila mwaka ifikapo Augost 8, ambapo kauli mbinu ya mwaka huu kitaifa ni, vijana na wanawake ni msingi imara wa mifumo endelevu ya chakula, huku kauli mbiu ya kikanda ikisema kilimo ni biashara na…
31 July 2023, 5:34 pm
NIRC kujenga mabwawa 100 nchi nzima
Hatua hiyo itafanya kuwa na mabwawa 114 ambayo yatawasaidia wakulima kuwa na Kilimo Cha uhakika. Na Seleman Kodima. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji NIRC imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mradi wowote umesimama kwa sababu ya fedha bali zipo hatua ambazo lazima…
31 July 2023, 4:53 pm
Historia ya bwawa la Hombolo
Inasemekana kuwa bwawa hilo la Hombolo lina aina mbalimbali ya samaki wakiwemo dagaa, uduvi, ningu, kambale na perege. Na Yussuph Hassan. Bado tunaenedelea kuangazia historia ya bwawa la Hombolo bwawa ambalo linapatikana katika eneo la Hombolo lililopo Jijini Dodoma .…
31 July 2023, 4:24 pm
Wananchi Membe waiomba serikali kuwaboreshea huduma za afya
Sera ya afya ya mwaka 2007 inataka huduma za afya kwa wazee, wajawazito na watoto chini ya umri miaka mitano kupata huduma bure bila malipo. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha mlimwa kata ya Membe wameiomba serikali kuboresha huduma…
28 July 2023, 5:07 pm
Fahamu shughuli zinazofanyika bwawa la Hombolo
Je bwawa hili linawanufaisha vipi wakazi wa Hombolo hususani katika shughuli mbalimbali kama kilimo na uvuvi? Na Yussuph Hassan. Bwawa la Hombolo limekuwa likitumika na wakazi wa eneo hilo kwa ajili ya uvuvi wa samaki aina ya perege na wengine…
28 July 2023, 4:48 pm
Mradi wa maji Nzuguni sio porojo, wafika asilimia 76
Mradi wa Nzuguni unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji kutoka wastani wa lita mlioni 68.7 mpaka milioni 76.3 kwa siku sawa na ongezeko la 11.4% ya uzalishaji wa sasa, na litapunguza mahitaji kwa 11.7% ya mahitaji ya sasa ya lita 133.4…
28 July 2023, 4:21 pm
Wahitimu BBT kwenda JKT mafunzo ya uzalendo
Mnamo Tarehe 23 Februari, 2023 serikali kupitia Wizara ya Kilimo ilitangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo…