Recent posts
10 August 2023, 2:01 pm
Nini kifanyike kesi za ukatili wa kingono zisimalizwe kifamilia?
Serikali itaendelea kuimarisha mifumo yote ya ulinzi na usalama wa mtoto kama ilivyoelekezwa katika mikataba ya kikanda na kimataifa kuhusu haki na ustawi wa mtoto ili kuhakikisha hakuna mtoto anayefanyiwa vitendo vya ukatili. Na Mariam Matundu. Na leo tumepita Mtaani…
10 August 2023, 1:37 pm
TMDA yaanzisha mfumo wa ufuatiliaji wa usalama wa dawa
Pamoja na hayo TMDA imesisitiza Wagonjwa na jamii kutoa taarifa mapema kwenye hospitali ,kituo cha afya,zahanati au duka la dawa ambapo matibabu yalitolewa ambapo utoaji wa taarifa za madhara ya dawa ni jukumu la kila mmoja ili kusaidia kuboresha sekta…
10 August 2023, 1:20 pm
Wazazi watakiwa kuwapatia haki ya elimu watoto wenye ulemavu
Ingawa malengo ya maendeleo endelevu yanahimiza kuwa hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma lakini utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumiwa Watoto UNICEF 2022 unaonesha kuwa kati ya watoto milioni 240 wenye ulemavu duniani nusu hawajawahi kuhudhuria shuleni.…
10 August 2023, 12:45 pm
Jamii yatakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa
Kwa Mujibu wa Mtaalamu Teobad Abdon ameeleza kuwa matumizi holela ya dawa husababisha madhara katika mwili wa binadamu ikiwemo matumizi ya dawa ambazo sio za ugonjwa husika. Na Diana Massae. Jamii imetakiwa kuondokana na matumizi holela ya dawa bila…
10 August 2023, 12:10 pm
Jimbo kuu katoliki Dodoma lapokea sanamu ya Bikira Maria
Kwa mujibu wa imani ya kanisa katoliki, Mama bikira maria ndiye mama wa Yesu kristo Mkombozi wa ulimwengu, ambaye ni muombezi wa kanisa ambapo baada ya kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika mwaka 1961, Muasisi wa Taifa hili hayati Julius Kambarage…
9 August 2023, 6:28 pm
EWURA yatoa leseni kwa zaidi ya mafundi umeme 5000
EWURA imeendelea kuwakumbusha Mafundi Umeme kufanya kazi kwa mujibu wa kanuni za Umeme hususani kanuni namba 15, 16 na 17. Na Mindi Joseph. Zaidi ya mafundi umeme 5000 wamepatiwa leseni na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…
9 August 2023, 5:58 pm
Vijana Bahi waomba kandarasi ili wajikwamue kimaisha
Vijana hao wameanzisha karakana ndogo ya kutengeneza samani mbalimbali na kuwasaidia vijana hao kujipatia kipato. Na Bernad Magawa . Baadhi ya vijana waliojiajiri Wilayani Bahi Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwaunga mkono kwa kuwapa kandarasi katika maeneo waliyobobea ili waweze kujikwamua.…
9 August 2023, 5:32 pm
Serikali yaombwa kuwachukulia hatua kali wanaofanya vitendo vya ukatili
Picha ni Mkazi wa jiji la Dodoma akizungumzia sheria zinazopaswa kuchukuliwa kwa watu wanaofanya vitendo vya ukatili. Picha na Aisha Shaban. Takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi zinaonyesha kuwa kuanzia Januari hadi Juni 2021 watu 15131 walifanyiwa ukatili wa kijinsia…
9 August 2023, 4:19 pm
Nini kifanyike kesi za ukatili kingono zisimalizwe kifamilia?
Unyanyasaji unaweza kutokea katika mazingira mbalimbali ya kijamii kama vile sehemu za kazi, nyumbani, shuleni au kwenye Taasisi za kidini. Na Mariam Matundu. Ni aina ya unyanyasaji unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi au ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika…
9 August 2023, 3:22 pm
Jamii yaeleza kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya vifaa vya kuzima moto
Jeshi la zimamoto na uokoaji limekuwa kikisisitiza matumizi ya vifaa hivi katika jamii ingawa baadhi ya wananchi wanasema kuwa ipo haja kwa jeshi hilo kuongeza nguvu ili elimu hiyo izidi kuwafikia wananchi wengi. Na Thadei Tesha. Ili kukabiliana na majanga…