Recent posts
20 August 2024, 5:17 pm
Serikali kuhakikisha zabibu inapata soko la uhakika
Na Fred Cheti Upatikanaji wa soko la uhakika wa zao la zabibu mkoani Dodoma unatarajia kuongeza tija na chachu kwa wakulima wa zao hilo kutokana na jitihada zinazoendelea kufanywa katika kuimarisha uzalishaji wa zao hilo. Hii ni baada ya kauli…
20 August 2024, 4:55 pm
TANESCO Kufanya maboresho ya mfumo wa mita Kanda ya Kati na Kaskazini
Zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za LUKU limeshafanyika katika kanda tofauti hapa nchini ambapo ukomo wa zoezi hilo ni Novemba 24 mwaka huu. Na Selemani Kodima. Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema linatarajia kufanya maboresho ya mfumo wa…
17 August 2024, 3:58 pm
Makamu wa rais kufanya ziara ya siku tatu Dodoma
Dkt Philip Mpango ataanza ziara yake mkoani Dodoma tarehe 19 mwezi huu hadi tarehe 21 mwezi nane kwenye wilaya za Chamwino ,Bahi ,Mpwapwa,Kongwa ,chemba na Kondoa. Na Seleman Kodima.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Dkt. Philip Isdory…
16 August 2024, 2:40 pm
Mchango wa wazazi ,walezi, jamii kuhakikisha uwepo wa mazingira rafiki ya kupata…
Leo tunakupa Taarifa hiyo yenye kuonesha umuhimu wa kuchagia ujenzi wa Mabweni kwa ajili ya kupunguza changamoto hiyo ambayo inachangia kupoteza ndoto za mabinti wengi. Na Seleman Kodima.Ikumbukwe Mazingira rafiki kwa Mtoto wa kike kupata elimu yamezidi kuwa changamoto ya…
16 August 2024, 2:12 pm
Biashara ya kofia inavyowanufaisha wafanyabishara
Leo tuna hitimisha fahari ya Dodoma katika kata ya Kingale wilayani Kondoa kwa kutazama jinsi watengenezaji wa kofia hizi wanavyo nufaika kibiashara. Na Yussuph Hassan. Bi.Mwajuma Omary yeye hununua vitambaa vya kofia hizi kwa mzee Juma nakwenda kuzishona hapa anasimulia…
16 August 2024, 1:51 pm
Nini kifanyike TASAF iwafikie walengwa sahihi?
Dodoma TV Imepita Mtaani Kuzungumza na baadhi ya hapa Wananchi Jijini Dodoma kuhoji je nini kifanyike ili wanufaika wa Mfuko huo wawe ni walengwa sahihi. Na Fred Cheti.Kulingana na Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS asilimia nane ya…
16 August 2024, 1:26 pm
Tumieni sherehe za jando kufundisha maadili na tamaduni za kitanzania
Sherehe hizo ni sehemu pekee ya kuwamsaidia Kijana kupata ufahamu wa namna ya kukabiliana na changamoto za Maisha katika siku za usoni. Na Kadala Komba.Wakazi wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wametakiwa kuzitumia Sherehe za Jando kwa Watoto wa kiume…
16 August 2024, 11:40 am
Elimu ya matumizi sahihi ya ardhi yawanufaisha vijana
Mitazamo hasi ya baadhi ya vijana katika umiliki na matumizi sahihi ya ardhi umepeklekea vijana wengi kuamini kuwa inahitajika uwe na pesa nyingi ili kumiliki ardhi jambo ambalo wadau wanasema si kweli ardhi inaweza kutumiwa na kumilikiwa na kila mtu…
15 August 2024, 6:22 pm
Kazi ya ushonaji kofia ilivyorithishwa kwa watoto Kingale
Anatueleza shughuli hii ilivyomsaidia katika maisha yake na kuwalea watoto wake hadi wamefikia umri wa kujitegemea. Na Yussuph Hassan.Bado tunatazama ufundi wa kofia hapa kata ya Kingale ambapo mzee Ramadhani ametujuza mengi tokea alipoanza kazi hadi kuwarithisha vijana wake ujuzi…
15 August 2024, 6:09 pm
Nafasi ya wadau katika upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Bado tupo na Dkt Fransic Andrew kutoka Hospitali ya Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) hapa anatueleza zaidi. Na Seleman Kodima.Leo tunaangazia nafasi ya wadau katika kuhakikisha wanafanikisha suala la upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa…