Dodoma FM

Recent posts

1 December 2020, 6:20 am

Ukarabati wa skimu za Kilimo Ruaha wafikia asilimia 60

Na,Mindi Joseph Ukarabati wa miundombinu inayopeleka maji katika skimu za kilimo cha umwagiliaji Ruaha Mbuyuni, Namagozi na Mlenge Pawaga Mkoani Iringa iliyoharibiwa na mafuriko katika msimu wa mvua zilizopita umekamilika kwa Asilimia (60%). Akizungumza katika ofisi za Tume ya Taifa…

30 November 2020, 7:22 am

Ukosefu wa sera ya unywaji pombe wachangia kuzorotesha uchumi

Kutokuwepo kwa sera madhubuti zinazohusu masuala ya unywaji pombe kupita kiasi kumechangangia kushindwa kufanyika kwa shughuli za kiuchumi kutokana na baadhi ya watumiaji wa vinywaji vikali kuendekeza unywaji kupita kiasi.Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Mtandao wa mashirika ya…

26 November 2020, 7:19 am

Wanawake na fursa za kiuchumi

Wanawake nchini wameshauriwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kujiongezea kipato ambacho kitawasaidia katika mambo mbalimbali hususan katika kugombea na kuendesha kampeni wakati wa chaguzi. Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Dodoma…