Dodoma FM

Recent posts

14 April 2021, 1:09 pm

Serikali kukamilisha miradi ya kilimo iliyo anzisha

Na; Selemani Kodima Wizara ya kilimo imesema itaendelea kujikita zaidi kwenye kipaumbele cha kufanya tathimini na kukamilisha miradi ya umwagiliaji iliyopo ikiwemo kuangalia ufanisi wake na kukamilishi miradi ya maji ambayo wameshaianza. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu waziri wa…

14 April 2021, 12:04 pm

KIBAWASA kutekeleza mradi wa maji Kibaigwa

Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa  endapo mradi mpya wa maji ambao unatekelezwa katika mji mdogo wa Kibaigwa utakamilika utasiaidia kuondoa tatizo la maji kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na afisa uhusiano kutoka mamlaka ya maji Kibaigwa Water Sanitation…

14 April 2021, 8:05 am

TBS Yateketeza Bidhaa Zenye Thamani ya Milioni 19

Na ; Mariam Kasawa. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa hafifu za vyakula na vipodozi zenye thamani ya shilingi milioni 19 katika maeneo mbalimbali ya biashara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Kwa Mujibu  wa Meneja wa Shirika…

13 April 2021, 1:16 pm

DUWASA kukabiliana na wezi wa maji Dodoma

Na; Mindi Joseph Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira( Duwasa) kukabiliana na wezi wa maji na uvujifu wa maji pamoja na kuwachukulia hatua watumishi wa Duwasa wasio waminifu wanaochangia hasara…

13 April 2021, 12:35 pm

Nagulo Bahi wakabiliwa na changamoto ya kukosa Zahanati

Na; Selemani Kodima Licha ya mwongozo wa sera ya afya ya 2007 kuainisha kuwa kila Kijiji kitakuwa na Zahanati, hali ni tofauti katika Kijiji cha Nagulo Kata ya Bahi ambapo tangu kuanzishwa kwa Kijiji hicho hawajawahi kuwa na Zahanati. Taswira…

13 April 2021, 11:31 am

Ujenzi wa Bomba la Mafuta utachangia kukuza uchumi wa Tanzania

Na ;Benard Filbert. Kuanza kwa ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Tanzania mwishoni mwa mwezi huu kunatarajiwa kufungua fursa za kiuchumi kwa watanzania wengi. Hayo yamebainishwa na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger