Recent posts
16 April 2021, 12:42 pm
Waandishi tumieni kalamu zenu kuhamasisha maendeleo ya Nchi.
Na; Benard Filbert. Wito umetolewa kwa waandishi wa habari nchini kutumia kalamu zao ili kuhamasisha maendeleo ya Nchi na si vinginevyo. Wito huo umetolewa na msemaji mkuu wa serikali na mkurugenzi wa idara ya habari maelezo Mh. Gerson Msigwa wakati…
16 April 2021, 12:02 pm
Wakazi Chilonwa waomba uongozi wa Chamwino kuhamisha Dampo ambalo limekuwa kero…
Na; Selemani kodima Dampo la kutupia taka lililopo katikati ya mpaka wa Kijiji cha Chamwino ikulu na Chilonwa Wilayani Chamwino limetajwa kuhatarisha afya za wananchi wa eneo hilo.. Hayo yamefahamika baada ya Taswira ya habari kuzungumza na baadhi ya wakazi…
16 April 2021, 11:13 am
Wadau wa mazingira waipongeza Serikali kwa hatua ya kutokomeza mifuko ya plasti…
Na; Mariam Matundu. Wadau wa mazingira wanasema wanafurahi kuona jitihada zao za kutaka kutokomezwa matumizi ya plastiki zinaendelea kufanikiwa kutokana na athari zake katika mazingira. Hayo yamesemwa na mdau wa mazingira kutoka taasisi ya Fudeco Bakari Mntembo na kuongeza kuwa…
16 April 2021, 10:49 am
Serikali kuhamasisha wawekezaji ujenzi wa viwanda vya mbolea nchini
Na;Mindi Joseph . Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania (TFRA) Dtk.Stephane Ngailo amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji , kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini . Dkt.Ngailo…
16 April 2021, 9:57 am
Vifungashio mbadala ni changamoto kwa wafanyabiashara Majengo
Na; Shani Nicolous. Wafanyabiashara wa soko la majengo wamelalamikia kukosekana kwa vifungashio mbadala vilivyo elekezwa na Serikali vitumike . Akizungumza na Taswira ya habari Mwenyekiti wa soko la Majengo Bw.Hamis Bomu amesema kuwa vifungashio mbadala vinavyo takiwa kutumika havipatikani kwa…
15 April 2021, 2:14 pm
Azam kucheza na JKT Tanzania kesho Jamhuri Dodoma
Na; Matereka Junior. Kikosi cha Azam tayari kipo Dodom na msafara wa wachezaji 25 na benchi la ufundi kwaajili ya kucheza na Timu ya JKT Tanzania kesho saa nane mchana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
15 April 2021, 1:55 pm
Serikali yatatua changamoto ya madarasa Membe
Na; Benard Filbert. Serikali katika Kata ya Membe Wilayani Chamwino imetatua changamoto ya madarasa iliyokuwa ikikwamisha wanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza 2021 kwa kujenga vyumba vya madarasa. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata ya Membe Bw.Simon Petro wakati akizungumza…
15 April 2021, 1:34 pm
Wazee kuendelea kunufaika na sera ya matibabu bila malipo
Na; Selemani Kodima. Serikali imesema itaendelea kuwatambua wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea wasio na uwezo ili kunufaika na sera ya matibabu bila malipo. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu Waziri TAMISEMI Dkt Festo Dugange wakati akijibu swali…
15 April 2021, 12:23 pm
Vijana wanufaika na Elimu ya usafi
Na; Mindi Joseph Jumla ya vijana elfu arobaini na nane Nchini wametajwa kunufaika na elimu ya usafi inayotolewa na Taasisi ya Raleigh Tanzania kupitia mradi wa vijana na mabadiliko chanya kitabia juu ya usafi. Akizungumza na Taswira ya habari mratibu wa…
15 April 2021, 11:42 am
Tope lakwamisha shughuli za uvuvi Hombolo
Na; Victor chigwada Wakazi wa Hombolo wanao jihusisha na shughuli ya uvuvi wamelalamikia bwawa hilo kujaa tope na kupungua kina hali inayo sababisha vifo kwa wavuvi wanao kwama kwenye tope hilo. Wakizungumza na taswira ya habari wavuvi hao kutoka…