Dodoma FM

Recent posts

17 December 2025, 15:47

Senyamule: Limeni mazao yanayostahimili mvua chache

Maagizo hayo yanatokana na kauli iliyotolewa na mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA hivi karibuni juu ya utabiri wa muelekeo wa msimu wa mvua za vuli na mvua za msimu kwa kipindi cha Oktoba 2025 hadi Desemba 2025 na…

17 December 2025, 15:15

Tanzania kituo cha mafunzo ya vijana Afrika mabadiliko tabianchi

Uamuzi huo unaifanya Tanzania kuwa kituo cha vijana cha Umoja wa Afrika kwa ajili ya kuwajengea uwezo na maarifa katika masuala ya tabianchi. Na Mwandishi wetu Tanzania imechaguliwa kuwa kituo cha mafunzo ya vijana wa Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi…

16 December 2025, 17:23

Wenye ulemavu waonesha mwamko utoaji mawazo

Mikakati na miongozo iliyowekwa na serikali pia imechagiza watu wenye ulemavu kushiriki katika mikutano ya ngazi za maamuzi. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa kumekuwa na mwamko mkubwa kwa watu wenye ulemavu kushiriki katika kutoa mawazo yao katika mikutano ya kijamii…

16 December 2025, 16:50

Nidhamu ya fedha kikwazo kwa vijana kufikia malengo

Mwandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Celine Condrady mkufunzi wa tabia na malezi Pamoja na Mshauri wa Watoto na vijana ameanza kwa kumuuliza nini maana ya nidhamu ya fedha. Na Benard KombaKutokuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha imetajwa…

16 December 2025, 16:17

Mpwapwa wataka zimamoto kuwakumbuka

Wananchi hao wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka ili kulinusuru eneo hilo na majanga ya moto yanayoweza kusababisha hasara kubwa zaidi. Na Steven Noel. Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwapatia gari la zimamoto na uokoaji ili…

16 December 2025, 15:57

Wananchi Mlodaa waiomba serikali machinjio ya kisasa

Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wachinjaji wa maeneo hayo wanasema wekuwa wakichinja mifugo yao Kwa Njia za asili. Na Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mlebe Kata ya Msamalo Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwajengea machinjio ya kisasa…

15 December 2025, 15:51

Wananchi wahimizwa kutunza mazingira

Utunzaji wa mazingira ni muhimu katika jamii hususani utunzaji wa milima. Na Farashuu Abdallah. Wananchi wamehimizwa kutunza mazingira ili kuepuka athari hasi zinazoweza kutokea katika jamii. Wito huo umetolewa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Serikalini halmashauri ya jiji la…

15 December 2025, 15:30

LATRA yaendelea kuhakikisha usafiri unakuwa bora msimu wa sikukuu

Kipindi hiki cha sikukuu, LATRA imeimarisha ukaguzi wa vyombo vya usafiri ili kuhakikisha magari yako katika hali salama, yana bima halali na hayazidishi abiria. Na Anwary Shaban. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa…

15 December 2025, 15:11

Uhaba wa walimu chanzo cha wanafunzi kukata tamaa Igandu

Kitendo Cha mwalimu mmoja kujigawa katika madarasa mengi inakuwa ngumu kuhakikisha kama wanafunzi wanaelewa kile wanacho fundishwa. Na Victor Chigwada. Uhaba wa  walimu  katika shule ya msingi Igandu umepelekea baadhi ya wanafunzi wanao maliza darasa la saba shuleni hapo kujiunga…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger