Recent posts
25 May 2021, 11:57 am
Kigwe waililia serikali maji safi na salama
Na; Victor Chigwada Wananchi wa Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe Wilaya ya Bahi wameiomba Serikali na taasisi binafsi kuwatatulia changamoto ya uhaba wa maji safi na salama. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema kwa muda…
25 May 2021, 11:30 am
Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu
Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…
25 May 2021, 11:20 am
Bei ya nguo za mitumba yashuka
Na; Tosha Kivula Bei ya nguo za mitumba imeendelea kuwa ya wastani ikilinganishwa na miezi kadhaa iliyopita.. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wanunuzi wa nguo hizo kwa bei ya reja reja wamesema bei hiyo imezidi kuwanufaisha ambapo kwa…
24 May 2021, 1:54 pm
Uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia Nchi
Na;Mindi Joseph . Uharibifu wa mazingira nchini umetajwa kuchangia kuongezeka kwa mabadiliko ya tabia nchi hali ambayo imepelekea kiwango cha maji kuzidi kuongezeka Nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Said Jafo…
24 May 2021, 1:29 pm
Chitela walalamikia kukosa elimu na vifaa vya uchimbaji wa madini ya chumvi
Na; Victor Chigwada Ukosefu wa elimu na vifaa vya kuchimbia madini ya chumvi na chokaa ni sababu kubwa inayo rudisha nyuma shughuli za uchimbaji. Hayo yamesemwa na baadhi ya wananchi wanaojihusisha na uchimbaji wamadini hayo waliopo mtaa wa Chitela kata…
24 May 2021, 11:58 am
Ubovu wa barabara Matumbulu wakwamisha zoezi la kuweka nguzo za umeme
Na; Benard Filbert. Kata ya Matumbulu jijini Dodoma inakabiliwa na ubovu wa barabara katika baadhi ya maeneo yake hali inayochelewesha zoezi la uwekaji nguzo za umeme. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa mtaa wa Mkombozi Bw. Haruni Nyakapara wakati akizungumza na…
24 May 2021, 10:16 am
Wizi wapelekea wakazi wa Makulu kuishi bila amani
Na; Benjamin Jackson. Wakazi wa kata ya Makulu Jijini Dodoma wamelalamikia eneo hilo kukumbwa na wimbi la wizi hali inayopelekea wananchi kukosa amani katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao wamesema tatizo la wizi katika eneo hilo limekuwepo…
21 May 2021, 1:50 pm
Ukosefu elimu juu ya umuhimu wa vyeti vya kuzaliwa changamoto kwa wazazi
Na; Thadey Tesha Ukosefu wa elimu juu ya umuhimu wa vyeti vya kuzaliwa umetajwa kama miongoni mwa sababu zinazowafanya wazazi wengi kutofuatilia upatikanaji wa vyeti hivyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wazazi jijini Dodoma wakati wakizungumza na Taswira ya Habari…
21 May 2021, 1:27 pm
Changamoto ya zahanati chamwino wanawake kujifungulia njiani
Na; Benard Filbert Ukosefu wa huduma ya Zahanati katika Kijiji cha Chitabuli Wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wananchi hivyo kusababisha wajawazito kujifungulia njiani. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari kuhusu…
21 May 2021, 12:43 pm
Serikali yaahidi kusimamia sheria ya mtoto
Na; Yussuph Hans Katika kuhakikisha inawakomboa wanawake wanaobebeshwa mimba na kutelekezwa, Serikali imeahidi kusimamia ipasavyo sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inayotoa maelekezo juu ya matunzo ya mtoto kwa wazazi wote wawili. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu…