Dodoma FM

Recent posts

12 May 2021, 1:43 pm

Haki elimu yataja vipaumbele katika mabadiliko ya sera ya elimu

Na; Mariam Matundu Imeelezwa kuwa ili Tanzania kuwa na elimu jumuishi yenye ufanisi ni muhimu sera ya elimu ieleze wazi suala hilo na kuweka vipaumbele katika mitaala jumuishi ,pamoja na utoaji wa elimu nyumbufu kwa ngazi zote. Hayo yameelezwa na…

12 May 2021, 1:17 pm

Barabara kata ya Mtanana A hadi Ndalibo kuanza marekebisho hivi karibuni

Na; Benald Filbert Barabara zilizopo katika kata ya Mtanana wilaya ya Kongwa zimeingizwa kwenye bajeti  ya mwaka wa fedha 2021/22  ili kufanyiwa ukarabati kuanzia eneo la Mtanana A hadi Ndalibo, kwa lengo la kuondoa usumbufu ambao wananchi wamekuwa wakikutana nao.…

12 May 2021, 1:00 pm

Wazazi kata ya makanda wataka matokeo chanya kwa wanafunzi

Na; Victor Chigwada Kutokana na matokeo yasiyokuwa ya kuridhisha kwa wanafunzi wa shule za sekondari katika Kata ya Makanda wazazi wametaja kilichosababisha hali hiyo ni kuwepo kwa kambi za kitarafa. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema…

12 May 2021, 12:47 pm

Wananchi watakiwa kufuatili na kuhoji miradi ambayo imekamilika na haitumiki

Na; Mindi Joseph Serikali imehimizwa kuwashirikisha wananchi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo ili kuokoa hasara inayojitokeza kufuatia asilimia 36 ya miradi iliyokamilika Nchini kutotumika licha ya kugharimu rasilimali nyingi za fedha. Taswira ya habari imezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa…

11 May 2021, 2:05 pm

Watoto wa kike wahamasishwa kupenda masomo ya sayansi

Na; Mariam Matundu.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF), Justina Mashiba amesema kupitia miradi ya mfuko huo wamekuwa wakitoa mafunzo yenye lengo la kumuhamasisha mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi, kuwa mbunifu na kupenda kujifunza masuala…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger