Dodoma FM

Recent posts

2 April 2021, 12:46 pm

Wafanyabiashara wahimizwa kulipa kodi bila shurti

Na; Shani Nicolous Wito umetolewa kwa wafanyabiashara nchini kulipa kodi bila kushurutishwa ili kukuza uchumi wa nchi. Ushauri huo umetolewa ikiwa ni siku moja baada ya agizo alilotoa rais Mh.Samia Suluhu Hassan juu ya kutumiwa kwa njia sahihi za sahihi…

2 April 2021, 11:31 am

Jeshi la Polisi laendelea kuimarisha ulinzi ndani ya Jiji la Dodoma

Na; Mindi Joseph.  Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limejipanga kuhakikisha linaimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nyumba za ibaada ikiwa ni pamoja na kudhibiti uhalifu  katika sikuku ya Pasaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma Kamanda wa Jeshi…

2 April 2021, 9:46 am

Watanzania wahimizwa kutumia lugha ya kiswahili

Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kiswahili ni moja ya lugha iliyo enea katika Mataifa ya Afrika kutokana na jitihada mbalimbali zilizo fanyika katika kukuza lugha hiyo. Hayo yamesema na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA Bi. Consolata Mushi…

2 April 2021, 8:55 am

Mila na desturi kiini cha ukatili kwa jamii.

Na; Alfred Bulahya. Wajumbe wa kamati za ulinzi wa mwanamke na mtoto (MTAKUWA) waliopo wilayani Chamwino  Jijini Dodoma, wametakiwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii kwa kuibua vitendo vya ukatili na kupeleka kesi hizo kwenye mamalaka husika ili ziweze kupatiwa ufumbuzi…

1 April 2021, 1:07 pm

Fountain Gate warejea Kambini

Na; Matereka Junior Uongozi wa timu za Fountain Gate acadey umetangaza kurejea kambini kwa wachezaji wao wote wa timu za wanaume na wanawake ili kuanza maandalizi ya mechi za ligi. Afisa habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema wachezaji wameanza…

1 April 2021, 11:24 am

Misingi bora ya jamii ni chanzo cha haki na usawa

Na; Mindi Joseph. Kituo cha sheria na haki za Binadamu  kimemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kutengeneza misingi itakayohakikisha jamii inaishi kwa kufuata sheria haki na kuzingatia usawa wa kijinsia. Akizungumza  na Taswira ya habari…

1 April 2021, 10:31 am

Madereva wanao fanya makosa kupewa adhabu

Na; Mariam Matundu. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene amesema wameweka utaratibu wa kutangaza majina ya madereva watakaokuwa wanafanya makosa ya kujirudia kila mwezi ikiwa ni sambamba na adhabu mbalimbali. Mh.Simbachawene ameyasema hayo hii leo na kutangaza…

1 April 2021, 7:48 am

Wabunge wateule wala kiapo bungeni

Na; Mariam Kasawa Spika wa Bunge Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu wa kuteuliwa na Rais leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 bungeni mjini Dodoma. Walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa na Rais Samia…