Recent posts
9 July 2021, 12:01 pm
Migogoro ya Ardhi Chemba yapungua kwa kiasi kikubwa
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa migogoro ya ardhi katika Kata ya Chemba Wilayani Chemba Mkoani Dodoma imepungua kwa kiasi kikubwa tofauti na awali ambapo ilikuwa ikileta ugomvi kwa wananchi. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa Kijiji hicho Bw. Bashiru Athman wakati…
9 July 2021, 11:44 am
Ukosefu wa Elimu ni kikwazo kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa Nchini
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa elimu na jinsi ya kupata soko kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa Nchini imetajwa kuwa changamoto hivyo kushindwa kuongeza mnyororo wa thamani. Hayo yamebainishwa na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa la wadau wa sekta ya kilimo Bw.…
9 July 2021, 11:31 am
Elimu itasaidia watoto kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa urahisi zaidi
Na; Joan Msangi. licha ya juhudi kubwa za serikali pamoja na mashirika mengne ya haki za binadamu kuendeleza upingaji wa vitendo vya ukatili wa kijinsia bado matukio hayo yanaendelea ambapo takribani watoto 40 elfu wanapitia hali hiyo. Wakizungumza na taswira…
9 July 2021, 11:07 am
Baraza la Taifa la mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali NaCoNGO latangaza rasmi v…
Na; Mindi Joseph. Baraza la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NaCoNGO) limetangaza rasmi viongozi wapya waliochaguliwa nafasi za ngazi ya kitaifa watakaoongoza kwa kipindi cha miaka mitatu. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo,Julai 8,2021,Mwenyekiti wa Kamati ya mpito iliyosimamia uchaguzi…
8 July 2021, 1:15 pm
Jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa mujibu wa maelekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Serikali pamoja na wataalamu wa afya. Wito huo umetolewa na afisa afya wa Jiji la Dodoma Bw. Abdallah Mahiya…
8 July 2021, 12:07 pm
Watumishi wa wizara ya maji wametakiwa kutekeleza miradi ya maji ipasavyo
Na; Yusuph Hans. Watumishi katika wizara ya maji wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na nidhani katika matumizi ya fedha na kutekeleza miradi ya maji ipasavyo kwa maslahi ya wananchi na Taifa kwa ujmla. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma na Waziri wa maji…
8 July 2021, 11:49 am
Rais Samia azitaka taasisi za Dini nchini kufanya kazi kwa kuaminiana
Dawati la Habari. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za dini Nchini kufanya kazi kwa uwazi na kuaminiana ikiwemo kuweka wazi mahesabu ili watoza kodi waweze kujua hali halisi ya uendeshaji wa taasisi…
8 July 2021, 11:32 am
Serikali yatatua changamoto ya umeme kata ya Membe
Na; Benard Filbert. Miezi kadhaa baada ya Dodoma FM kuripoti habari kuhusu changamoto ya kukosekana kwa nishati ya umeme katika kata ya Membe Wilayani Chamwino hatimaye Serikali imeanza kuchomeka nguzo za umeme. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chitaburi wameeleza…
8 July 2021, 11:11 am
Kampeni ya zero migogoro yafanikiwa kusikiliza kesi zaidi ya elfu moja kwa siku…
Na; Shani Nicolous. Kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma imefanikiw kusikiliza kesi zaidi ya elfu moja kwa siku mbili huku baadhi ya kesi zikitatuliwa papo kwa papo na nyingine zilizohitaji kufika maeneo husika zikiendelea kufanyiwa kazi. Akizungumza na…
6 July 2021, 2:01 pm
Baadhi ya wafanyakazi wa ndani waelezea kukumbana na changamoto ya ukatili na un…
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa licha ya mchango mkubwa katika Familia, bado wafanyakazi wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kufanyiwa vitendo vya Ukatili na Unyanysaji wa kijinsia kutoka kwa waajiri wao, wanafamilia, ndugu na marafiki. Mmoja wa wasaidizi wa kazi za…