Recent posts
16 July 2021, 1:12 pm
Shule zinazotoa elimu jumuishi zaiomba serikali kuboresha miundombinu
Na; Mariam Matundu. Walimu wanaofundisha shule zinazotoa elimu jumuishi katika Wilaya ya Bahi na Dodoma mjini wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya shule zao ili kuwezesha watoto wenye mahitaji maalumu kujifunza vizuri. Wamesema suala la uchache wa vyumba vya madarasa linasababisha…
16 July 2021, 12:48 pm
Wakazi Wilayani Chamwino watakiwa kutunza na kusimamia miradi ya maji
Na; Benard Filbert. Wakazi katika wilaya ya Chamwino wametakiwa kutunza na kuisimamia miradi ya maji ambayo imekuwa ikiratibiwa na wakala wa huduma za maji vijijini RUWASA ili kuepusha changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo. Hayo yameelezwa na meneja wa RUWASA…
16 July 2021, 11:36 am
Imeelezwa kuwa migogoro ya ardhi ni sababu inayo pelekea baadhi ya watu kushindw…
Na; Sani Nicolous. Pamoja na kwamba serikali bado inaendelea na kampeni ya kutatua migogoro ya ardhi lakini kuna baadhi ya maeneo wakulima na wafugali wapo katika migogoro mikali ya ardhi. Akizungumza na Dodoma fm Diwani wa kata ya Mpendo wilaya…
16 July 2021, 11:08 am
Wakazi wa Songambele A waishukuru serikali kwa kuwapatia fedha kwaajili ya ujenz…
Na; Victor Chigwada. Wananchi katika Kata ya Songambele A wameishukuru Serikali kwa kuwapatia fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya . Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamesema kuwepo kwa Zahanati kutarahisisha upatikanaji…
15 July 2021, 12:21 pm
Wakazi wa Jiji la Dodoma wametakiwa kuhakikisha wanajilinda dhidi ya maambukizi…
Na;Yussuph Hans. Rai imetolewa kwa wakazi wa Jijini la Dodoma kuhakikisha wanajilinda dhidi maambukizi ya virusi vya korona, kwa kuhakikisha wanapunguza safari zisizo na ulazima pamoja na kuvaa barakoa katika mikusanyiko. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma…
15 July 2021, 12:05 pm
Wakazi wa kata ya Iyumbu waishukuru serikali kwa kuwatatulia changamoto ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wananchi katika Kata ya Iyumbu Jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa jitahada walizo zichukua katika kutatua changamoto ya umeme ndani ya Kata hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema wanayo furaha kuona muda si…
15 July 2021, 11:53 am
Wakazi wa Chiwondo walazimika kutembea kilomita 6 kutafuta maji
Na; Benard Filbert. Changamoto ya ukosefu wa maji katika kijiji Cha Chiwondo Kata Ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma imetajwa kuwa kikwazo cha maendeleo kwa wakazi hao kutokana na kutembea zaidi ya kilomita 6 kutafuta huduma hiyo. Wananchi hao wameiambia…
15 July 2021, 11:38 am
Kampeni ya zero mogogoro ya ardhi Mkoani Dodoma yaongezewa siku
Na; Shani Nicolous. Baada ya uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuandaa kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma Serikali imeongeza siku ili zoezi hilo lidumu kwa muda wa mwezi mzima kwa ajili ya kuendelea kusikiliza na kutatua migogoro hiyo.…
14 July 2021, 1:49 pm
Wanaume wilayani Kongwa watakiwa kutambua majukumu yao katika familia
Na; Benard Filbert. Wanaume katika kata ya Chiwe wilayani Kongwa wametakiwa kuepuka kutelekezea wanawake majukumu ya familia ikiwemo kusomesha watoto na badala yake washiriki kwa pamoja. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata ya Chiwe Bw. Dastan Chinyali wakati akizungumza na…
14 July 2021, 1:28 pm
Mwanamke ana haki ya kumiliki mali na kuuza chochote kwaajili ya familia
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki ardhi kama ilivyo kwa upande wa mwanaume katika familia kwa mjibu wa sheria. Akizungumza na Dodoma fm msaidizi wa kisheria kutoka halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw. Yona Sakaza…