Dodoma FM

Recent posts

25 August 2021, 12:42 pm

Serikali kuongeza jitihada ya kutatua changamoto za wafanyakazi Nchini

Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa amesema serikali itaongeza jitihada za kutatua changamoto zinazowakabili wafanyakazi nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma wakati wa kufungua mkutano wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania…

24 August 2021, 2:02 pm

Mgogoro wa ardhi wakwamisha ujenzi wa vyoo vya gulio Chilonwa

Na; Selemani Kodima. Imeelezwa kuwa mgogoro wa eneo ambalo lilitakiwa kujengwa matundu ya vyoo katika Gulio la Chilonwa ni sababu ya kuchelewa ujenzi wa matundu hayo. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata ya Chilonwa Bw Alpha Msuza wakati akielezea mkakati…

24 August 2021, 1:41 pm

TALGWU yatakiwa kusimamia maadili ya watumishi wake

Na;Mindi Joseph . Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh Anthony Mtaka amekitaka chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa Tanzania TALGWU Kusimamia maadili ya watumishi wao ili kuondoa ukiukwaji wa maadili kwa watumishi Nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma katika mkutano…

24 August 2021, 1:09 pm

Jamii imetakiwa kuacha mtazamo hasi juu umuhimu wa lishe bora

Na;Yussuph Hans. Jamii imekuwa na dhana mbalimbali juu ya umuhimu wa lishe bora ambapo dhana hiyo imesababisha baadhi ya watu kupendelea aina fulani ya chakula ili kukwepa gharama za vyakula vingine. Wakizungumza na taswira ya Habari Wakazi Mkoani Dodoma wamesema…

23 August 2021, 1:53 pm

Wadau waizungumzia kumbukumbu ya biashara ya utumwa Duniani.

Na; Fred Cheti. Ikiwa leo Agosti 23 ni siku ya kumbukizi ya biashara ya utumwa Duniani bado inaelezwa kuwa athari za biashara hiyo ambayo inayotajwa kama moja ya ukatili wa kupindukia uliowahi kutokea kwa mwanadamu zinaendelea kuonekana duniani. Hiyo ni…

23 August 2021, 1:40 pm

Familia zatakiwa kuvunja ukimya juu ya hedhi salama kwa mtoto wa kike

Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuvunja ukimya na kuwezesha upatikanaji wa hedhi salama kwa watoto wa kike ni muhimu suala hili likaanza kuzungumzwa ndani ya familia pamoja na kujumuishwa kwenye bajeti za familia. Akizungumza na taswira ya habari mdau…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger