Recent posts
6 October 2021, 1:11 pm
Kamati za ulinzi na usalama wa mtoto zatakiwa kuimarishwa ili kukabiliana na vit…
Na; Selemani Kodima. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuimarishwa kwa Kamati za ulinzi na usalama wa mtoto ili zitumike kukabiliana na vitendo vya ukatili. Mh. Mwanaidi ametoa agizo hilo…
6 October 2021, 12:57 pm
EWURA yatangaza kupunguza tozo nane kwaajili ya kuwaletea unafuu wananchi
Na; Mindi Joseph . Mamlaka ya Nishati na Maji EWURA imetangaza kupunguza Tozo nane kwa ajili ya udhibiti wa EWURA na kuwaletea Unafuu wananchi. Akizungumza na Taswira ya habari Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema wamefanya…
5 October 2021, 11:31 am
Uhaba wa maji wasababisha migogoro ya ndoa katika kijiji cha Mpakani
Na ;Victor Chigwada. Huduma hafifu ya upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa changamoto kwa Wananchi wa kitongoji cha Mpakani Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa hali inayosababisha migogoro ya ndoa Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari…
5 October 2021, 11:19 am
Wananchi watakiwa kupata elimu sahihi juu ya chanjo ya uviko 19
Na; Shani Nicolous. Kufuatia zoezi la kuendelea kujikinga na Uviko 19 Dodoma imeonekana kuwa na mwitikio mkubwa katika suala la uchanjaji. Akizungumza na Taswira ya habari Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Jabir Shekimweli amesema kuwa kuna mwitikio mkubwa wa…
5 October 2021, 11:04 am
Ukosefu wa Maabara wapelekea wanafunzi kushindwa kufaulu masomo yao
Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa maabara kwa baadhi ya shule za sekondari imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule zinazokabiliwa na changamoto ya miundombinu ya shule ambapo…
5 October 2021, 10:53 am
Walimu waadhimisha siku ya mwalimu kwa kuomba kuboreshewa mazingira ya kujikinga…
Na; Selemani Kodima. Ikiwa leo ni siku ya walimu Dunia ,Baadhi ya walimu wamesema ipo haja ya kundi hilo kutazamwa zaidi katika namna ya kujikinga na Ugonjwa uviko-19 kutokana na mazingira ya ufundishaji kuhusisha watu wengi . Hayo yamesemwa na…
4 October 2021, 2:34 pm
Umeme waathiri upatikanaji wa maji Membe.
Na; Benard Filbert. Kuchelewa kuwashwa kwa nishati ya umeme wa tanesco katika kata ya Membe wilayani Chamwino imetajwa kuathiri upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata hiyo. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Membe bwana Simon Macheo…
4 October 2021, 1:44 pm
Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa kutoa chanjo ya uviko 19
Na; Selemani Kodima . Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma unaongoza kwa utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Uviko -19 ambapo kati ya chanjo Elfu Hamsini ambazo zilitolewa kwa ajili ya Ugonjwa Uviko-19 ,tayari chanjo elfu thelathini zimetumika . Hayo yameelezwa na…
4 October 2021, 1:34 pm
Teknolojia yatajwa kukwamisha usomaji wa vitabu
Na; Thadei Tesha. Mwitikio wa jamii juu ya usomaji wa vitabu umeendelea kuwa wa wastani kutokana na ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kusoma vitabu hivyo ambapo kukua kwa teknolojia kukitajwa kuwa miongoni mwa visababishi. Wakizungumza na…
1 October 2021, 1:04 pm
Waziri mkuu awataka viongozi wa Dini na waumini kuacha kutumia majukwaa ya dini…
Na; Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zote za dini nchini zenye nia safi na thabiti katika kuhakikisha kuwa miradi mbalimbali ya kijamii na kiroho yenye manufaa kwa umma inafanikiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba mosi…