Recent posts
28 March 2022, 3:14 pm
Wanafunzi watakiwa kuacha kujihusisha na mapenzi
Na; Neema Shirima. Wanafunzi wa kike wameshauriwa kuachana na kujihusisha na mapenzi ili kuepuka kupata magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile ukimwi Haya yamezungumwa ikiwa imesalia mwezi mmoja wanafunzi wa kidato wa sita kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu…
28 March 2022, 2:48 pm
Wakazi wa Chang’ombe Ihumwa walalamikia huduma ya Afya kuto kujitosheleza
Na;Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto zao ikiwa ni pamoja na kutojitosheleza kwa huduma ya afya katika kata hiyo Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kwa sasa ongezeko…
28 March 2022, 2:30 pm
Watoto wenye upungufu wa damu na maumivi ya viungo wametakiwa kupelekwa hospital…
Na;Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa Wazazi na Walezi Jijini Dodoma kuwapeleka vituo vya afya watoto wenye upungufu wa damu na maumivu ya viungo mara kwa mara, kwani inawezekana ikawa moja wapo ya dalili ya ugonjwa wa seli mundu (siko…
23 March 2022, 2:53 pm
Uhaba wa madawati bado ni changamoto katika sekta ya elimu
Na ;Victor Chigwada . Mbali na changamoto ya vyumba vya madarasa pamoja na walimu katika shule za msingi na sekondari lakini uhaba wa madawati nao umeongeza changamoto katika sekta ya elimu Kata ya Mpalanga Wilaya ya Bahi ni miongoni mwa…
23 March 2022, 2:39 pm
Hali ya ugonjwa wa kifua kikuu yaendelea kudhibitiwa
Na;Yussuph Hassan. Kuelekea siku ya kifua kikuu Duniani march 24, imeelezwa kwa Serikali Mkoani Dodoma katika kutokomeza ugonjwa huo ilipanga kila baada ya miezi mitatu kuibua wagonjwa Elfu Moja, Mitatu Sitini na Mbili, kila baada ya miezi mitatu. Lengo…
23 March 2022, 2:19 pm
Serikali yawajengea bweni wanafunzi wa kike wenye ulemavu Bahi
Na; Mariam Matundu. Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika shule ya msingi Bahi sokoni wameishukuru serikali kwa kujengewa bweni la wasichana shuleni hapo kwani hatua hiyo itaongeza ari kwa wazazi ya kuwapeleka watoto shule. Baadhi ya wanafunzi hao wamesema iwapo bweni…
22 March 2022, 2:11 pm
Wananchi watakiwa kuitumia[…
Na; Seleman Kodima Wito umetolewa kwa wananchi kutumia mwezi huu wa mfungo wa kwaresma kutenda matendo ya huruma kwa jamii ikiwemo kuwajali na kuwapa mahitaji watu wasiojiweza . Hayo yamesemwa na Vijana wa Kanisa la waadventista wa sabato kutoka kanisa…
21 March 2022, 2:17 pm
Imani potofu zina didimiza mapambano dhidi ya kifua kikuu
Na; Yussuph Hassan . Dhana ya kuhusisha ugonjwa wa kifua kikuu na imani potofu, imeelezwa kuwa dhana hiyo kwa kiasi kikubwa imekuwa ikididimiza juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo. Dhana hii ni kufatia baadhi ya jamii kuamini…
21 March 2022, 2:06 pm
Wananchi waiomba serikali kupitia Wizara ya Afya kutoa elimu juu ya homa ya manj…
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali kupitia wizara ya afya kutoa elimu juu ya ugonjwa wa homa ya manjano na namna ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema…
21 March 2022, 1:54 pm
Serikali kuanza utelekelezaji wa mradi wa maji bwawa la Farkwa
Na; Mariam Matundu. Katika kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa maji mkoani Dodoma serikali imesema iko mbioni kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa bwawa la Farkwa . Akizungumza na taswira ya habari mkurugenzi wa bonde la wamiruvu kutoka wizara…