Recent posts
21 July 2022, 2:17 pm
Sherehe za mashujaa kitaifa kufanyika Jijini Dodoma
Na;Mindi Joseph. Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Sherehe Za Mashujaa Ambayo Kitaifa Yatafanyika Jijini Dodoma. Akizungumza Katika Viwanja Vya Mashujaa Ambapo Sherehe Hizo Zitafanyika Mkuu Wa Mkoa Wa Dodoma Antony…
21 July 2022, 1:52 pm
Tanzania yaonyesha kuwa na idadi ndogo ya watu wanao tumia maziwa
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa licha ya uzalishaji wa maziwa kuongezeka nchini bado kuna changamoto kutokana na idadi ndogo ya watu ambao wanatumia maziwa. Hayo yameelezwa na Israel Mwingira afisa uzalishaji kutoka bodi ya maziwa Tanzania wakati akifanya mahojiano katika…
20 July 2022, 2:00 pm
Athari za vilevi kwa wanawake wajawazi
Na; Benard Filbert. Matumizi ya vilevi kwa wanawake wajawazito imetajwa kuwa na athari kubwa ikiwepo kujifungua mtoto mwenye mgongo wazi. Hayo yanajiri kutokana na baadhi ya watoto wanaokutwa na tatizo la mgongo wazi kutajwa kusababishwa na mama zao kutumia vilezi…
20 July 2022, 1:37 pm
Ripoti mbalimbali za taasisi ya wajibu kutumika Bungeni ili kuleta uwazi
Na;Mindi Joseph. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya bajeti Mh Daniel Sillo amesema kuwa wataendelea kutumia ripoti mbalimbali za taasisi ya wajibu bungeni katika kuleta uwazi na uwajibikaji. Akizungumza na Taswira ya habari amesema ripoti hizo nne za…
19 July 2022, 1:59 pm
Wanawake watakiwa kutambua nafasi yao katika kuchangia maendeleo ya familia
Na; Victor Chigwada. Afisa maendeleo ya jamii katika Kata ya Msamaro Bi.Ngw’ashi Mhuli ametoa wito kwa wanawake kutambua kuwa wananafasi ya kuchangia maendeleo katika ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa Bi. Mhuli akizungumza na taswira ya habari amesema kuwa…
19 July 2022, 1:35 pm
Serikali yatenga bilioni 387. 73 kwaajili ya maji vijijini
Na;Mindi Joseph . Serikali imetenga Shilingi Bilion 387.73 kwa ajili ya uwekezaji wa huduma ya maji maeneo ya vijijini ili kutatua changamoto inayowakabili wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali Mkurungezi Mkuu wa…
19 July 2022, 11:14 am
Mkoa wa Dodoma kuanza mkakati mpya wa kilimo cha Alizeti
Na; Benard Filbert. Serikali ya mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na wizara ya viwanda na biashara inatarajia kuanza mkakati mpya wa kilimo cha alizeti ili kuhamasisha watu kujihusisha na kilimo hicho kwa wingi. Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa…
11 July 2022, 2:02 pm
Wakazi wa Mlowa bwawani wapata huduma ya maji safi na salama
Na;Mindi Joseph . Imeelezwa kuwa kukamilika kwa ujenzi wa tenki la maji linalojengwa Mlowa Bwawani litasaidia wananchi kupata maji safi na salama na kuondokana na kutumia maji ya chumvi. Taswira ya habari imezungumza na Diwani wa kata hiyo Andrew Richard…
11 July 2022, 1:46 pm
Wilaya ya Mpwapwa yapongezwa kwa kufanya vizuri katika anuani za makazi
Na; Alfred Bulahya. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Geroge Simbachawene amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kwa kutekeleza vizuri zoezi la anwani za makazi. Waziri Simbachawene ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya…
11 July 2022, 1:30 pm
Wananchi waaswa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu wakati wa zoezi la Sensa
Na; Benard Filbert. Kuelekea zoezi la sensa ya watu na makazi linalo tarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka huu wakazi wa kata ya Songambele Wilayani Kongwa wameombwa kuacha kuwaficha watu wenye ulemavu badala yake wawape fursa ya kuhesabiwa. Hayo yameelezwa na…