Recent posts
12 January 2023, 2:22 pm
Jamii na dhana ya kubemenda mtoto
Na; Mariam kasawa Dhana ya kubemenda mtoto ni dhana ambayo imekuwa ikiaminiwa na jamii nyingi za Afrika hususani Nchini Tanzaniaa. Makabila tofauti yamekuwa na utaratibu wao pindi mama anapo jifungua na wakati wa kulea mtoto baba na mama hufundishwa na…
12 January 2023, 1:59 pm
Elimu ya chanjo ya uviko 19 ni muhimu kwa wazazi
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ni muhimu kwa wazazi na walezi kupata chanjo ya uviko 19 kwani mbali na kujilinda wao wenyewe lakini pia husaidia kuwalinda watoto. Bi Lotalisi Gadau ni mratibu wa mpango wa taifa wa chanjo kutoka wizara…
11 January 2023, 2:35 pm
Matumizi ya dawa za kulevya bado ni tatizo kwa baadhi ya maeneo Nchini
Na; Mariam Matundu. Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2021 iliyotolewa Juni 2022 na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema ingawa hakuna takwimu halisi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini waraibu…
11 January 2023, 2:14 pm
Chamwino wajadili mustakabali wa utunzaji Mazingira
Na; Mariam Kasawa. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chamwino jana amekutana na Wadau wa Mazingira, watendaji wa Kata, Viongozi wa Taasisi za Umma na Wahe. Madiwani kwa ajili ya kujadili masuala mbali mbali…
19 December 2022, 8:47 am
Wadau watakiwa kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili
Na; Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu ameitaka jamii, wadau kwa nafasi zao kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikitokea katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt. Jingu ameyasema hayo…
19 December 2022, 8:35 am
Bahi watakiwa kulima mazao yanayo stahimili ukame
Na; Benard Filbert. Wakulima wa kata ya Bahi wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameshauriwa kupanda mazao ambayo yanahitaji mvua kidogo ili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Ushauri huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo Agustino Mdunuu wakati akizungumza…
7 December 2022, 11:41 am
Kiti mwenzo chamuwezesha Agness kurudisha tabasamu.
Na; Mariam Matundu. Familia ya mtoto Agnesi inayoishi kata ya makang’wa wilayani chamwino imerejesha matumaini baada ya diwani wa viti maalumu kumsaidia binti yao kiti mwenzo kinachomuwezesha kufika shule . .
7 December 2022, 11:29 am
Wananchi washiriki maendeleo ya kata Mparanga
Na ;Victor Chigwada. Kuongezeka kwa elimu ya ushiriki wa maendeleo katika jamii imesaidia kuongeza nguvu kwa Serikali juu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazo wazunguka wananchi Hayo yanajiri baada ya wananchi wa Kata ya Mpalanga kushiriki pamoja kukusanya fedha na…
2 December 2022, 6:52 am
Kata ya majeleko yakamilisha ujenzi wa madarasa
Na ;Victor Chigwada . Ujenzi wa vyumba vya madarasa unaendelea kuwa kipaumbele katika maeneo mengi nchini ili kuendana na sera ya elimu bila malipo ambayo imechangia kuongeza idadi ya udahili wa wanafunzi. Mwenyekiti wa kijiji cha Chinangali one Kata ya…
1 December 2022, 8:22 am
Vijana jijini Dodoma kufikiwa na elimu ya maambukizi ya vvu
Na; Benard Filbert. Ofisi ya mganga mkuu wa Mkoa wa Dodoma imejipanga kuwafikia vijana ambao wanahisiwa kuwa na virusi vya Ukimwi kwa ajili ya kuwapa elimu katika vituo vya kutolea huduma rafiki ili kupunguza maambukizi hayo. Taarifa hiyo imetolewa na…