Recent posts
13 February 2023, 3:07 pm
Bima ya Afya kwa wote itasaidia kupunguza gharama za matibabu
Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ambao ulikuwa uwasilishwe bungeni Wiki iliyopita ulikwama kwa mara nyingine ikiwa ni mara ya pili kwa muswada huo kukwama tangu usomwe kwa mara ya kwanza bungeni katika mkutano wa nane wa Bunge na…
13 February 2023, 1:56 pm
Wakazi wa Chali Bahi kuondokana na uhaba wa huduma za Afya
Ufadhili wa ujenzi wa zahanati hiyo ni muendelezo wa ufadhili wa masuala ya afya wilayani Bahi kupitia shirika hilo ambapo kupitia ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Bahi limefadhili huduma ya Cliniki tembezi ya macho iliyozunguka kwenye vituo vya afya…
10 February 2023, 5:32 pm
Watanzania waaswa juu ya usambazaji picha chafu mtandaoni
Akichangia hoja ya Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarima Bungeni Jijini Dodoma ambaye aliitaka serikali kuweka mfumo maalum utakaodhibiti usambazaji wa picha chafu mitandaoni Na Mariam Matundu. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya habari Nape Nnauye amewashauri watanzania…
10 February 2023, 4:52 pm
Wakulima walalamikia wafanyabiashara wa mchele Bahi
Wakulima wa mpunga wilayani Bahi mkoani Dodoma wamelalamikia wafanya biashara wanaofuata mchele na Mpunga unaozalishwa wilayani humo kwa kuupa majina ya mchele wa mikoa mingine wanapouuza katika masoko mbalimbali hapa nchini tatizo linalopelekea kutotambulika kabisa kwa mchele wa Bahi kwenye…
10 February 2023, 2:18 pm
Vijana Chilonwa watakiwa kuchangamkia fursa ujenzi wa chuo cha Veta
Mwaka jana Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda alisema kuwa Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha 2022/2023, Serikali imetenga kiasi cha Shilingi…
10 February 2023, 1:45 pm
Huduma za kijamii zazidiwa na ongezeko la watu
Waziri wa Nishati na Madini Januari Makamba mwaka jana dec 25 alisema kuwa Wizara inaanza program ya kupeleka umeme kwenye vitongoji. Kwani tayari serikali imefikia asilimia 75 katika kufikisha umeme vijijini Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa ongezeko la watu…
9 February 2023, 10:30 am
Zaidi ya wananchi 7000 watarajia kunufaika
Zaidi ya wananchi 7000 wa kijiji cha Ibihwa na Mpamantwa Wilayani Chemba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama pindi ujenzi wa mradi wa kisima kikubwa cha maji unaotekelezwa katika vijiji hivyo utakapokamilika. Na Fred Cheti. Hayo yameelezwa…
8 February 2023, 7:08 pm
Huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel yarejea
Ikiwa ni wiki la tatu tangu kituo cha Dodoma Fm kuripoti kuhusiana na adha ya kukosekana kwa huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel kwa zaidi ya miezi mitatu katika kituo cha Princes Muro kituo pekee kinachotoa huduma…
8 February 2023, 3:23 pm
Mh.Gondwe ameagiza miradi kutekelezwa kuendana na fedha iliyotolewa na serikali
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya maendeleo wilayani humo kuanza kutekelezwa kwa wakati huku akisisitiza miradi hiyo kuendana na thamani ya fedha iliyotolewa na serikali. Na. Benard Magawa. Mheshiwa Gondwe ameyasema hayo…
8 February 2023, 2:42 pm
Idara ya afya Watakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi Kongwa
Watumishi wa idara ya Afya wilayani Kongwa wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi zinazoendana na ubora wa miundombinu. Na Bernad Magawa. Donald Mejiti mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa kutoka mkoa wa Dodoma ameyasema hayo alipotembelea wilayani…