Recent posts
17 February 2023, 12:36 pm
Ujenzi kiwanja cha Ndege Msalato watakiwa kuongezewa kasi
Machi 13, 2020 Tanzania na bank ya maendeleo ya afrika zilitiliana saini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa Dola 495.59 milioni za Marekani (Sh1.14 trilioni) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo uwanja wa ndege wa…
17 February 2023, 11:49 am
Wakurugenzi watakiwa kutumia data za sensa kupanga sera na mipango
Wakurugenzi wa sera na mipango wametakiwa kuhakikisha wanatumia data za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kupanga mipango jumuishi. Ofisi ya taifa ya Takwimu imewataka wakurugenzi wa sera na mipango kuhakikisha wanatumia data za sensa ya watu na…
17 February 2023, 10:53 am
Idara ya Elimu Msingi Bahi yazidi kung’ara
Na Benard Magawa Ikiwa imetimu takribani zaidi ya miezi miwili tangu kutangazwa kwa matokeo ya darasa la saba hapa nchini Disemba mwaka 2022 ambayo yaliweka historia mpya kwa wilaya ya Bahi baada ya wilaya hiyo kuwa kinara mfululizo kwa miaka…
16 February 2023, 3:46 pm
Bilioni 1.172 kujenga barabara kongwa
Wakala wa barabara za mijini na vijijini Tanzania (TARURA) wilayani kongwa wanatarajia kutumia shilingi Bilioni 1.172 kwaajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya barabara katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na Bernadetha Mwakilabi. Meneja wa TARURA Kongwa injinia Peter…
16 February 2023, 2:44 pm
Mhe. Gondwe aagiza Bahi kuongeza Mapato
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gongwe ameiagiza halmashauri ya wilaya ya Bahi kuhakikisha inabuni, kusimamia na kuongeza vyanzo vya mapato ili kutekeleza kikamilifu agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kila wilaya kuhakikisha inakusanya mapato…
15 February 2023, 5:28 pm
Upotevu wa wastani wa Shilingi 380,000 kwa siku umebainika
Upotevu wa wastani wa Shilingi 380,000 kwa siku umebainika katika makusanyo ya mapato ya stendi ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 11 kwa mwezi Mkoani Dodoma . Na Mariam Matundu. Hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa Takukuru mkoa…
15 February 2023, 5:12 pm
Kukosekana kwa elimu juu ya TASAF walengwa kutoingia kwenye mfumo
Imeelezwa kuwa kukosekana kwa elimu ya kutosha juu ya dodoso la walengwa wa TASAF imesababisha baadhi ya walengwa Kata ya Chilonwa kutoingia katika mfumo wa malipo. Na Victor Chigwada. Asheri Mkosi ni mwenyekiti wa kijiji cha Mahama amesema licha ya…
15 February 2023, 2:11 pm
PrecisionAir yashindwa kutua Dodoma
Leo Wakati tunasafiri kutokea Dar kwenda Dodoma kutumia ndege ya Precission PW 600, kuna jambo limetokea. Na Joseph Rwegasira Samson. tupo hewani nilikuwa nimekaa dirishani, wakati tunakaribia kushuka Dodoma nikaona engine imezima, tupo hewani OMG…Rubani akatangaza kurudi Dar kwa dharula…
15 February 2023, 11:14 am
Baraza La Taifa la Ujenzi lajipanga kutekeleza Majukumu Tisa
Na Fred Cheti. Baraza La Taifa la Ujenzi limesema kwa Mwaka 2023 limejipanga kutekeleza Majukumu Tisa ambapo ni pamoja na kukamilisha muongozo wa gharama za ujenzi wa barabara Nchini kwa kuandaa gharama za msingi za Mkandarasi katika kutekeleza kazi mbalimbali…
15 February 2023, 10:41 am
Adaiwa fedha watoto wafutwe shule
Na Benard Magawa. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Raisi Dkt. Samia Suluhu Hasani ikiendelea kuboresha miundombinu ya elimu ili kila mtoto wa kitanzania apate elimu ya Msingi na Sekondari bila malipo ili kutokomeza kabisa uwepo…